Makapuku Forum

Makapuku Forum

IMG_20170815_075423_658.JPG


Madame S
 
9/Canada
7d274ccebe8507e656e6e7053759ccbb.jpg
9806b421c9c90767c86b9db61b05e315.jpg
6265dfa66774ffddd8c08d58150e105c.jpg

Kuna aliyesoma walau darasa la 7 somo la Jiografia asiyeifahanu Canada linspokuja suala la kilimo,madini na viwanda ?
Ni nchi inayopatikana huko Amerika Kaskazini jirani na Taifa jeuri la Marekani
Ndiyo nchi inayodifika kwa uzalushaji ngano ....sasa jiulize kuna viwanda vingapu vya kuchakata ngano na kuweka kwenye viroba huko
Usisahau dhahabu inayopatikana huko Ontario nayo pia inachangia kujengwa viwanda huko
Viwanda vya uzalishaji bidhaa mbalimbali huko Canada huchangia pato kwa USD 145 Bilioni ambayo ni zaidi ya 10% ya GDP
Gharama ya wafanyakazi ni USD 31 Kwa saa wakati huku kwetu Vingunguti viwanda vinatupigia kelele halafu kwa saa ukute wafanyakazi wanalipwa Jero tu
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom