Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Woiiiiiiiiiii me ndio sinaga huu mda wa status
Woiiiiiiiiiii me ndio sinaga huu mda wa status
Me jamaan najikubali aisee na ubonge wangu na sura yangu ya babu mzaa baba
Kweli aiseeYes na marafiki wengi ndio chanzo cha kuharibikiwa na ukitaka kumjua mtu alivyo angaliamarafiki anaoambatana nao
Madame S
Babu ulishawahi cheza mpiraYaaani mtu anakuwa muongo mpaka anajidanganya.... Inanikumbusha mchezaji mmoja wa coastal Union wakati Tupo wadogo anaitwa Titus Bandawe.... Alikuwa anapenda chenga sana uwanjani mpaka wakati mwingine anajipiga chenga mwenyewe
Huku viwanda vipo mdomoni tu9/Canada![]()
![]()
![]()
Kuna aliyesoma walau darasa la 7 somo la Jiografia asiyeifahanu Canada linspokuja suala la kilimo,madini na viwanda ?
Ni nchi inayopatikana huko Amerika Kaskazini jirani na Taifa jeuri la Marekani
Ndiyo nchi inayodifika kwa uzalushaji ngano ....sasa jiulize kuna viwanda vingapu vya kuchakata ngano na kuweka kwenye viroba huko
Usisahau dhahabu inayopatikana huko Ontario nayo pia inachangia kujengwa viwanda huko
Viwanda vya uzalishaji bidhaa mbalimbali huko Canada huchangia pato kwa USD 145 Bilioni ambayo ni zaidi ya 10% ya GDP
Gharama ya wafanyakazi ni USD 31 Kwa saa wakati huku kwetu Vingunguti viwanda vinatupigia kelele halafu kwa saa ukute wafanyakazi wanalipwa Jero tu
.....
Serikali yangu ni ya viwandaHuku viwanda vipo mdomoni tu
Jamaani Babe...! Nini Tatizo?Hivi kwa nini unakuwa na kiburi
.....wewe mgeni humu eeeh, mvua nyingine hunyesha kwenye maeneo binafsi. Na ukijidai ufundi unakutana na mafuriko kama huna life jacket utaogelea sana

Mmmh sikuwa umemfit maana unam alert kwamba the shoe just fitNilitaka asome ujumbe bhanaa....
Yaaani mtu anakuwa muongo mpaka anajidanganya.... Inanikumbusha mchezaji mmoja wa coastal Union wakati Tupo wadogo anaitwa Titus Bandawe.... Alikuwa anapenda chenga sana uwanjani mpaka wakati mwingine anajipiga chenga mwenyewe



ya kweli haya au kuna kitu unanificha
Me jamaan najikubali aisee na ubonge wangu na sura yangu ya babu mzaa baba




be thankful mam wengine hata huo ubonge wanautaguta hawaupati ni kujikubali tu