Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Nsio hivyo kila mtu ajitahidi kubuni kitu jama anaweza badala ya kugombea kimoja tuntajitahidi
Madame S
Naamini vitu vya kupost vipo vingi maana dunia gaijawahi kuishiwa natukio
.....
Nsio hivyo kila mtu ajitahidi kubuni kitu jama anaweza badala ya kugombea kimoja tuntajitahidi
Madame S
Huyo Suzuki aliiendesha nchi kama pikipiki
![]()
![]()
![]()
.....
ndio maana akaitwa Suzuki et

Wenzake tunafuga bata2/ mtu mwenye masharafa marefu zaidi duniani
View attachment 567434
Si mwingine bali ni raia wa nchuni India, anajulikana kama Ram Singh Chauhan mwenye umri wa miaka 59 akitokea huko Rajasthan. Alianza kufuga mashara hayo mwaka 1982
Masharafa yake yana urefu wa 4.29 m sawa na (14 feets) yalipimwa katika kipindi cha luninga kilichojulikana kama "Lo show Di Record" mjini Italy na kuingia kwenye records za kidunia 04 March 2010
Venye anakwambia masharafa ni alama ya uanaume na huwashangaa sanavijana wakizinyoa.
Huchukua masaa 2 kusafisha masharafa yake kila siku na hutumia mafuta ya nazi pamoja na ya zetuni kuchania saharafa zake
Hajawahi kuzinyoa maisha yake yote huzipunguza tu kiasi zisizibe mdomo wake au kuufunika kabisa na huziosha kila baada ya siku kumi kwa msaada wa mkewe
View attachment 567441
Madame S
Ni kweli kabisaNsio hivyo kila mtu ajitahidi kubuni kitu jama anaweza badala ya kugombea kimoja tu
Naamini vitu vya kupost vipo vingi maana dunia gaijawahi kuishiwa natukio
![]()
![]()
![]()
.....
Wenzake tunafuga bata
Yeye anafuga ndevu
Atalala njaa
![]()
![]()
![]()
......



we zinyoe tu wakati diliLeo katika Historia
1977 - Elvis Prisley anafariki Dunia.
Alikuwa ni mwimbaji mashuhuri toka nchini Marekani. Kwa sisi nashabiki wa Michael Jackson huyu ni Baba mkwe wetu maana kama mtakumbuka vizuri Michael aliwahi kuwa mume wa mwanadada Lisa Prisley ambae ni mtoto wa Elvis ndoa iliyodumu kwa muda mfupi tu nadhani mwaka mmoja kama sikosei
Najua anapiga pesa !!we zinyoe tu wakati dili
Madame S
Hizo nido au makalio4/ mfaham mwanamke mwenye maziwa makubwa zaidi duniani
View attachment 567467
Jina lake kamili ni Annie Hawkins Turner (a.k.a Normal Stitz) akitokea United States of America mwenye maziwa yenye urefu wa 109.22cm yenye umbo la mduara yaliyojijaza vyema kifuani mwake
Anavaa bra size 521 sidiria kubwa kuwahi kutengenezwa
Annie alianza kukua maziwa hayo akiwa na miaka 9 na madokta walimshauri kumfanyia upasuaji wayapunguze ukubwa wake alikataa na kusema hawezi kupingana na uumbaji wa Mungu na ni mama wa watoto wawili
Aliingia rasmi mwaka 2000 kwenye Guinness World Records
Madame S
Bila picha hatuamini3/je wajua busu lilichokua mda refu zaidi duniani?
Busu hili lilidumu kwa takribani masaa 53 dakika 35 na sekunde 58 na lilikua ni kati ya Bw. Eklachai Tiranant mwenye miaka 44 na Bi Laksana mwenye miaka 33 raia wa nchini Thailand wakitokea kijiji kinaitwa Pattaya
Mashindano hayo yalifanyika makumbusho yaliyojulikana kama Ripley's museums huko Pattaya
Walifanikiwa kuvunja rekodi hiyo na kuingia rasmi kwenye kitabu cha dunia cha Guiness World Records
Madame S
Ngoja niiattach niliifuta bahat mbaya wakat naandaaBilapicha hatuamini
![]()
![]()
![]()
......
Pata burudani sasa kutoka kwa huyu bibi bomba madonna
Rekodi inaitwa frozen toka kwa Madonna... Kifupi mimi huyu bi mkubwa namuelewa nje ndani
Hii ndio ngoma nnayoikubali zaidi kutoka kwa Madonna
inaitwa La Isla Bonita........ Sijui kwavile alivyoimba alichanganya na maneno ya kispanish![]()
![]()
Watu na lugha zetu
Asante ni kwa kuwa nami kwenye leo katika historia
Niite Jimena Jimenes ila usisahau tu kuwa haya yamewezekana kwa hisani ya Ximena's red wine ambayo inapatikana kwa ladha sweet na dry
Sasa sisi tunazo matumboni na kifuani kama nyani inakuwaje maana hazinyolekiNamuonea huruma mke wake me si pendi jaman hizo mambo sijui najiskiaje
Leo katika Historia
2003 - Idd Amin Dadah anafariki Dunia.
Alikuwa ni Dikteta na Rais wa 3 wa Uganda.
Alisifika kwa utawala wa Mkono wa chuma, ambapo watu waliompinga walikiona cha mtema kuni.