Makapuku Forum

Makapuku Forum

b41faf3190795df4ebbdef76ed06e0f2.jpg
 
Katika Amka Na BBC asubuhi hii...

Watu wapatao mia sita hawajulikani walipo kufuatia maporomoko ya udongo yaliyoharibu mamia ya makazi ya watu nchini Sierra Leone.

Mtoto wa miezi sita, afariki dunia kwa madai ya kupigwa na Polisi, wakati wa ghasia zilizotokea baada ya uchaguzi mkuu wa Kenya.

Kauli ya Rais wa Zambia Edgar Lungu ya kutaka raia wa nchi hiyo kupima kwa lazima virusi vya ukimwi, yapokelewa kwa mitazamo tofauti.

Na Rais wa Tanzania Dokta John Magufuli amefuta kodi ya ardhi kwa wamiliki wote wa ardhi wenye hati za kimila.
 
View attachment 567507

Ua hili linajulikana kisayansj kama Abrus precatorious au kwa jina maarufu the crab's eye (jicho la kaa)

Ua hili linapatikana zaidi kusini mashariki mwa bara la Asia

Mbegu za ua hili zina chemikali kali yenye sumu na endapo ikigusana na mwanadam hußababisha uharibifu wa seli za mwili

Ikatokea limemezwa bila kukwanguliwa mbegu zake au kuzichuna halina madhara lakini litakapokwanguliwa huua kwa haraka


Madame S
Aisee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom