shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Asante shemela, nawe piaMuwe na asubuhi njema jaman tutaonana badae
Asante shemela, nawe piaMuwe na asubuhi njema jaman tutaonana badae
Leo katika Historia
1960 - Cyprus yajipatia Uhuru wake toka kwa Uingereza.
Kwani me nimesema ww wake jaman we si wa binamu obe na bitoz
Looooh!! Ukiistaajabu ya musa utayaona ya firauni2/ mtu mwenye masharafa marefu zaidi duniani
View attachment 567434
Si mwingine bali ni raia wa nchuni India, anajulikana kama Ram Singh Chauhan mwenye umri wa miaka 59 akitokea huko Rajasthan. Alianza kufuga mashara hayo mwaka 1982
Masharafa yake yana urefu wa 4.29 m sawa na (14 feets) yalipimwa katika kipindi cha luninga kilichojulikana kama "Lo show Di Record" mjini Italy na kuingia kwenye records za kidunia 04 March 2010
Venye anakwambia masharafa ni alama ya uanaume na huwashangaa sanavijana wakizinyoa.
Huchukua masaa 2 kusafisha masharafa yake kila siku na hutumia mafuta ya nazi pamoja na ya zetuni kuchania saharafa zake
Hajawahi kuzinyoa maisha yake yote huzipunguza tu kiasi zisizibe mdomo wake au kuufunika kabisa na huziosha kila baada ya siku kumi kwa msaada wa mkewe
View attachment 567441
Madame S
Kwa wapenda chuchuz hapa hawana chaoo...4/ mfaham mwanamke mwenye maziwa makubwa zaidi duniani
View attachment 567467
Jina lake kamili ni Annie Hawkins Turner (a.k.a Normal Stitz) akitokea United States of America mwenye maziwa yenye urefu wa 109.22cm yenye umbo la mduara yaliyojijaza vyema kifuani mwake
Anavaa bra size 521 sidiria kubwa kuwahi kutengenezwa
Annie alianza kukua maziwa hayo akiwa na miaka 9 na madokta walimshauri kumfanyia upasuaji wayapunguze ukubwa wake alikataa na kusema hawezi kupingana na uumbaji wa Mungu na ni mama wa watoto wawili
Aliingia rasmi mwaka 2000 kwenye Guinness World Records
Madame S
Kwa wapenda chuchuz hapa hawana chaoo...
Huyu anaweza kunyonyesha mtoto yupo mgongoni anabetua tu ziwa mtoto ananyonya









Aisee dah5/ mjue mtoto aliezaliwa akiwa na uzito mkubwa zaidi duniani
Anna Bates alojifungua mtoto huyu akiwa na uzito wa 9.98 kg nyumbani kwake Seville, Ohio
Mtoto huyu hakupewa jina rasmi na alifariki masaa 11 baadae (basda ya kuzaliwa kwake)
Imeripotiwa kua Anna jumba lake la uzazi lilipasuka na kupoteza maji mengi yaliyakdiriwa kua na ujazo wa gallons sita
mtoto mwengine aliezaliwa na fransica rames dos Santos raia wa (Brazil) alijifungua mtoto wa kiume mwenye uzito wa kg 7.57 18 January 2005 alikua ni miongoni !wa watoto wenye uzito mrefu zaidi kuwahi kuzaliwa duniani
Madame S
Kabisa yaaniLooooh!! Ukiistaajabu ya musa utayaona ya firauni
Leo katika Historia
1958 - Ni siku ya kuzaliwa kwa Madonna.
Mwimbaji mashuhuri wa muziki toka nchini Marekani.
Nikiwa kama shabiki hai wa Madonna ntacheza ngoma zake kama tatu hivi.. Ambazo nazikubali sana
Alizaliwa Jan 18 1868 Osaka Japan alikufa miaka mitatu baadae baada ya kunusurika kwenye shambulio![]()
![]()
![]()
Alikuwa Waziri Mkuu wa 42 wa Japan
Alikuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji
......
Hii kitu ipo poa
Uiendeleze iwe segment kamili
Bonge la ubunifu
......




ntajitahidiLeo katika Historia
1982 - Joleon Lescott anazaliwa.
Ni beki wa zamani wa Everton, Man City, West Brom na England.
![]()
![]()
![]()
Ni nxhi isiyojulikana sana
Imezidiwa umaarufu hata na Hammorapa
Huko ndiko alipokuwa anajidai kidume wa Irene Uwoya aitwaye Hamad Ndikumana kucheza soka la kulipwa
.....
zereuuuHuyo Suzuki aliiendesha nchi kama pikipikiAlizaliwa Jan 18 1868 Osaka Japan alikufa miaka mitatu baadae baada ya kunusurika kwenye shambulio