Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
Unalijua shemela
Unalijua shemela
Hii ndio Dunia tunayoishi2/ mtu mwenye masharafa marefu zaidi duniani
View attachment 567434
Si mwingine bali ni raia wa nchuni India, anajulikana kama Ram Singh Chauhan mwenye umri wa miaka 59 akitokea huko Rajasthan. Alianza kufuga mashara hayo mwaka 1982
Masharafa yake yana urefu wa 4.29 m sawa na (14 feets) yalipimwa katika kipindi cha luninga kilichojulikana kama "Lo show Di Record" mjini Italy na kuingia kwenye records za kidunia 04 March 2010
Venye anakwambia masharafa ni alama ya uanaume na huwashangaa sanavijana wakizinyoa.
Huchukua masaa 2 kusafisha masharafa yake kila siku na hutumia mafuta ya nazi pamoja na ya zetuni kuchania saharafa zake
Hajawahi kuzinyoa maisha yake yote huzipunguza tu kiasi zisizibe mdomo wake au kuufunika kabisa na huziosha kila baada ya siku kumi kwa msaada wa mkewe
View attachment 567441
Madame S
Namuonea huruma mke wake me si pendi jaman hizo mambo sijui najiskiaje2/ mtu mwenye masharafa marefu zaidi duniani
View attachment 567434
Si mwingine bali ni raia wa nchuni India, anajulikana kama Ram Singh Chauhan mwenye umri wa miaka 59 akitokea huko Rajasthan. Alianza kufuga mashara hayo mwaka 1982
Masharafa yake yana urefu wa 4.29 m sawa na (14 feets) yalipimwa katika kipindi cha luninga kilichojulikana kama "Lo show Di Record" mjini Italy na kuingia kwenye records za kidunia 04 March 2010
Venye anakwambia masharafa ni alama ya uanaume na huwashangaa sanavijana wakizinyoa.
Huchukua masaa 2 kusafisha masharafa yake kila siku na hutumia mafuta ya nazi pamoja na ya zetuni kuchania saharafa zake
Hajawahi kuzinyoa maisha yake yote huzipunguza tu kiasi zisizibe mdomo wake au kuufunika kabisa na huziosha kila baada ya siku kumi kwa msaada wa mkewe
View attachment 567441
Madame S
Hukujibu swaliShemela vipiii tena na mikono kichwani jaman
Nipo poa kipenzi hofu kwako tu na mshkaji wanguUko poa dear
Madame S
RIP AminLeo katika Historia
2003 - Idd Amin Dadah anafariki Dunia.
Alikuwa ni Dikteta na Rais wa 3 wa Uganda.
Alisifika kwa utawala wa Mkono wa chuma, ambapo watu waliompinga walikiona cha mtema kuni.
Swali lipi jaman uliniuliza ebu nikumbusheHukujibu swali
Hatujambo mamy tuko poaNipo poa kipenzi hofu kwako tu na mshkaji wangu
Hongera kwa 265K shemelaNipo poa kipenzi hofu kwako tu na mshkaji wangu
Mr x wa jana ulimsoma?Swali lipi jaman uliniuliza ebu nikumbushe
Nini tena mbona leo unaanza mapema hivi shemela
Na binamu wangu ??Hongera sana wote mliwekwa
Wanaume wa humu wote aliwaweka kasoro shemela shululu tuNa binamu wangu ??
Ngoja shemela nifanye hiviNini tena mbona leo unaanza mapema hivi shemela

Nimejibu jaman nimetafuta huko juu shemela vipii jamanMr x wa jana ulimsoma?
Mimi tenaHongera kwa 265K shemela
acha nijisifie shemela wangu asante jamanLeo katika Historia
1945 - Kunatokea Jaribio la kutaka kumuua Waziri Mkuu wa Japan, Kantari Suzuki lakini Jaribio hilo linashindikana.
Ewaaa hapo tutaenda sawaNgoja shemela nifanye hivi![]()
![]()
![]()
![]()