Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Hii ndio ngoma nnayoikubali zaidi kutoka kwa Madonna
inaitwa La Isla Bonita........ Sijui kwavile alivyoimba alichanganya na maneno ya kispanish [emoji2] [emoji2] [emoji2] Watu na lugha zetu
Asante ni kwa kuwa nami kwenye leo katika historia
Niite Jimena Jimenes ila usisahau tu kuwa haya yamewezekana kwa hisani ya Ximena's red wine ambayo inapatikana kwa ladha sweet na dry