Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
Hajamuopoa mtu maka anasema mambo hayo ya kuopoa kawaachia nyieAshaopoaa kumbe huyu mwanaume wa dar
Hajamuopoa mtu maka anasema mambo hayo ya kuopoa kawaachia nyieAshaopoaa kumbe huyu mwanaume wa dar
Akikujibu nitagAndazi lipi hilo bitoz
Maka jaman nitakumiss sana kumbe uliaga jana nitamiss vituko vyako na ucheshi wako na madame s najua atakumiss sana tu na husna wako
nutammis ndio ila mi sio wake banaaKaribuNi matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea vyema kabisa..... Nawakaribisha kwenye leo katika historia na italetwa kwenu nami Jimena Jimenes kwa udhamini murua wa Ximena's red wine ambayo inapatikana kwa ladha mbili sweet na dry
AsanteeLeo katika je wajua nami nakujuza zaidi nitaileta tofauti sio kwa mfumo wa kupost picha picha kama tulivyozoea
1/ je wamjua mbwa kudogo kuliko wote ulimwenguni??
View attachment 567427
Anajulikana kama Milly ni mbwa mwenye urefu sawa na kiatu cha mchuchumio chenye urefu wa 9.65 cm, mmiliki wa mbwa huyu anajuliiana kwa jina Vanessa Samler anayepatikana huko Puerto, Rico.
Jina kamili la mbwa huyu anajulikana kama Miracle Milly alizaliwa 1 December 2011 na kuingia rasmi kwenye record za kidunia ( Guinness World Records 12 February 2013)
Madame S
Morning Madame sGood morning
Madame S
Morning ankali JJMorning
Karibu ankali JJAsante sana kwa magazeti ankali
Na mm aliniweka kwenye list wakat nina mke na mtoto na mke mdogo wote waremboHajamuopoa mtu maka anasema mambo hayo ya kuopoa kawaachia nyie