Namastee

Huyu jambilo anawaza uzinzi tu.Acha kukuza mambo Shem, youngblood kasema alinifundisha kutumia![]()
tena kwa lengo zuri LA ulinzi hata manuu anatambua hili
Asipo rudi ataanzisha uzi wa kuwadisAtarudi tu, huku kunaitwa mtakuja
Unamtakia nini dadangu jomena!
Maisha yako poa brother.Kwema braza.....vipi maisha yanakwendaje
Leo Bayern anashinda.Mkuu uefa unampa nani?
Umeona ee
Ukiona mpaka mchungaji anawaza mambo machafu tambua kabisa kondoo wana hali mbaya....Anahitaj maombi na kurudishwa kundini
Atapita hapa oooohHuyu jamaa alikuja na gia mbaya sana....
Kabugha mbona huchangamki hujui kiswahil nin!Habar Mr sumbai
Amaizing itabid uendeshe hayo maombi umnusuru mchungajiAnahitaj maombi na kurudishwa kundini
Dar mkuu kiswahil ni lugha ya tatu ila nakijua mpaka basiKabugha mbona huchangamki hujui kiswahil nin!
Mbona kilugha ulokichangamkia sana?
Wewe unakataliwa na kila ke ujue unashida nashangaa unajofanya ya watu ndo unayajuaUkiona mpaka mchungaji anawaza mambo machafu tambua kabisa kondoo wana hali mbaya....
Kabugha mbona huchangamki hujui kiswahil nin!
Mbona kilugha ulokichangamkia sana?
REAL MADRID only.Mkuu uefa unampa nani?
nimeliona hilo boss.Umeona ee
Mtu akinidis me namdharauAsipo rudi ataanzisha uzi wa kuwadis