amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Hahaha shem kumbe unapenda kamchezo cha kulenga shabaha

Shem nakusalimu kwa upendo kabisaAti huduma gani tena kwa youngblood!
Nafikiri akili huwa inachanganya mafail....Daaa nijarib kufikilia hiv kweli akili inasimama au inakumbuka vingine vusivyo kwenye pepa.
Hahaha.Unazingua wewe ebu andika vizuri au ulikimbia somo LA mwandiko??
Th Name kuja huku ufundishe mwandiko hii mutu
Acha wivu brother.Ati huduma gani tena kwa youngblood!
Sema nami vizuri mkuu utabeba mzigo wa maana haijalishi ni wa nani...Acha wivu brother.
Mbona hupendi mafanikio yangu?
Watu wanajua kweli kutoa makavu bila chenga....Jimena ndo atamweza amaizing naye kamtandika za kichwa
Nilimfundisha mimi.Hahaha shem kumbe unapenda kamchezo cha kulenga shabaha![]()
Dah wamemkimbiza mgeniWatu wanajua kweli kutoa makavu bila chenga....
Shem kitu kinachoitwa mtihan achana nacho....Nafikiri akili huwa inachanganya mafail....
Naona ile kazi ya uchungaji umeacha kabisa.![]()
![]()
u much
Hahaha shem amaizing njoo ati ulifundishwa mchezo mbaya na youngblood!Nilimfundisha mimi.
Alafu majibu yanakuja after pepa.....Shem kitu kinachoitwa mtihan achana nacho....
Unaweza kuingia exams room uko poa ila paper ikija Akili yote inavurugika yan inagoma kukumbuka majibu kabsaaaa
Acha ushamba wew huwezi kulea washirika bila upendo..kwendaaa ndo maana unakataliwaNaona ile kazi ya uchungaji umeacha kabisa.