Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Mimi ndiyo maana nilimkataa toka mwanzo.Huyu ni fake pastor![]()
![]()
Mimi ndiyo maana nilimkataa toka mwanzo.Huyu ni fake pastor![]()
![]()
Acha kukuza mambo Shem, youngblood kasema alinifundisha kutumiaHahaha shem amaizing njoo ati ulifundishwa mchezo mbaya na youngblood!
tena kwa lengo zuri LA ulinzi hata manuu anatambua hiliJamaa ametoka nduki.Dah wamemkimbiza mgeni
Hahaha we shem unazid kuwa mwoga bhana. Usipokuwepo humu kuna doda halafu tunapojibizana hivi tunavuta mbu kama Youngblood na likes zinapandaAcha kukuza mambo Shem, youngblood kasema alinifundisha kutumia![]()
tena kwa lengo zuri LA ulinzi hata manuu anatambua hili
Acha ushamba wew huwezi kulea washirika bila upendo..kwendaaa ndo maana unakataliwa
Mimi sikataliw mkuu.Acha ushamba wew huwezi kulea washirika bila upendo..kwendaaa ndo maana unakataliwa
itakuwa kaacha huyo.Naona ile kazi ya uchungaji umeacha kabisa.
Atarudi tu, huku kunaitwa mtakujaJamaa ametoka nduki.
Ila ule mwandiko ni balaaa.
Shem sio wew ni Youngblood kama imekuja kwako ni wrongly![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Me sina roho ya kukataliwa Shem.. Ila wewe unakaroho ka kukataliwa
Good evening SirGood evening guys
Miss you
Anza na muhindi WA kuchemshamchungaji bana.Acha ushamba wew huwezi kulea washirika bila upendo..kwendaaa ndo maana unakataliwa
HahaaaaShem sio wew ni Youngblood kama imekuja kwako ni wrongly
Huyu jamaa alikuja na gia mbaya sana....itakuwa kaacha huyo.
Sumbai vipi mkuu.Good evening guys
Miss you
Kwema braza.....vipi maisha yanakwendajeSumbai vipi mkuu.
Mkuu uefa unampa nani?mchungaji bana.
Umeona eemchungaji bana.