Mie ni poa japo nimechoka sanaaaaSafi sana. Za wewe shemeji
Shem niko poa kidogo sio sanaSalama kabisa shemeji.
Uko poa?
Shida nini tena shemeji.Shem niko poa kidogo sio sana
Tuko njema, niaje kwako!Huku mko poaaa
Salama kabisa.Habari za saa hii.
Pole sana shemeji. Pumzika sasaMie ni poa japo nimechoka sanaaaa
Nimechoka tu shemShida nini tena shemeji.
Pole sana shem.Nimechoka tu shem
Ni nzuri braza, umeadimika sana.Habari za jioni wakuu.
Assante shem ndio napumzkia JF, si unajua hii kitu addicted Bila kuingia humu ndan usiku wangu haundi vizurPole sana shemeji. Pumzika sasa
Hii kitu hatari sana. JF ni kiboko imekuwa party ya maisha yetuAssante shem ndio napumzkia JF, si unajua hii kitu addicted Bila kuingia humu ndan usiku wangu haundi vizur
Assante shemPole sana shem.
Pumzika kidogo.
Kisutu...Hiyo STU ni timu gani? Mwenzenu siijui ni staki shari au? Nimerudi makapuku forum kule kwingine wamenizengua na siasa zao za Rais kuwa waziri nikaona ngoja nisepe maana naweza changia nikapelekwa kuleeeee.
Naomba udadavuzi kidogo hapa.Bado sijaupata huu uzi, naona ni lugha ya kinyumenyume au wanavyo sema cryptic language
Sawa shem.Assante shem
Hebu niperuz kidogo JF then nilale