Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Hahaha.Pole sana shabiki mwenzangu wa Yanga! Ila ungetoa neno "blood" kwenye username yako na kuweka "SC".![]()
Kote tunaongoza duuh
Sema kaka akeDadake mie!
Kweli kabisa.Likes kwangu ni toa likes nikupe likes ,ukikausha na mimi nakausha vile vile kwani shs ngapi??
MamboHiyo STU ni timu gani? Mwenzenu siijui ni staki shari au? Nimerudi makapuku forum kule kwingine wamenizengua na siasa zao za Rais kuwa waziri nikaona ngoja nisepe maana naweza changia nikapelekwa kuleeeee.
Bado kushinda mechi 1 tu kutangaza ubingwaYanga ushindi daima......![]()
![]()
Ni timu ambayo haijawahi kufungwa na simba kwa zaidi ya tofauti y goli moja...Hiyo STU ni timu gani? Mwenzenu siijui ni staki shari au? Nimerudi makapuku forum kule kwingine wamenizengua na siasa zao za Rais kuwa waziri nikaona ngoja nisepe maana naweza changia nikapelekwa kuleeeee.
Karibu grandma,wajukuu tulikumisi sana.Hiyo STU ni timu gani? Mwenzenu siijui ni staki shari au? Nimerudi makapuku forum kule kwingine wamenizengua na siasa zao za Rais kuwa waziri nikaona ngoja nisepe maana naweza changia nikapelekwa kuleeeee.
Ala kumbee. sank yu sana.Stand United ya Shinyanga
.........................
Rais nilikuomba utupe mrejesho wa nani anakimbiza kwa likes
Poa za siku?Mambo
#HuuMchezoHauhitajiHasiraKm mafuriko
Pande zote
................
Haitakiwi kuwekaweka kila siku...itasababisha wivu....naweka week end tuRais nilikuomba utupe mrejesho wa nani anakimbiza kwa likes
#HuuMchezoHauhitajiHasira
Hahaha nilikuwa natumia dawa ya anti FJmiligne sasa nimeishiwa nimerudi kazi mtindo mmoja. Ila mhu Makapuku yanatisha!!! Post kibao tena za kukufanya ufunge tumbo na kitambaa ama sivyo utumbo utajifunga kwa kucheka.Karibu grandma,wajukuu tulikumisi sana.
Ibabidi tuanze kuwachana live bila chenga.Kuna watu hawajui kwanini wako huku hawa like chochote wamekuja kivuna likes humu!
Jimena waambie