Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Hhahaha.Haitakiwi kuwekaweka kila siku...itasababisha wivu....naweka week end tu
![]()
![]()
![]()
..................
Kweli watu watasusa.

Hhahaha.Haitakiwi kuwekaweka kila siku...itasababisha wivu....naweka week end tu
![]()
![]()
![]()
..................

SIMPLEKuna watu hawajui kwanini wako huku hawa like chochote wamekuja kivuna likes humu!
Jimena waambie
Hamnitaki niondoke nini?? Shilingi ngapi kujoin?EMMYGUY.
sumbai.
lizziebettie.
Mussolin.
KABUGHA.
manuu
peterchoka
amazing
Patience123
Na makapuku wengine mko wapi??
Tunakupenda sana bibi.Hamnitaki niondoke nini?? Shilingi ngapi kujoin?
Manara kanuna![]()
Zitoke wapi ? Labda Kimba Sc
....................
Tafadhali punguza UKALI WA MANENO brother.SIMPLE
Asiyekulike ISIMLIKE
acha ubwege na kulalamika
......................
Mbona huyo mabitozi mimi haniweki au sababu mimi kibibi? Sitatoa siri zenu katu ila nitawarekebisha mkikosa adabu.Tunakupenda sana bibi.
Tafadhali usiondoke.
Bitoz hebu msikilize huyu bibi.Mbona huyo mabitozi mimi haniweki au sababu mimi kibibi? Sitatoa siri zenu katu ila nitawarekebisha mkikosa adabu.
Prezdaa unakosa adabu..ibwege!SIMPLE
Asiyekulike USIMLIKE
acha ubwege na kulalamika
......................
Na nna hakika hata Mechi ijayo pia tutashinda......Bado kushinda mechi 1 tu kutangaza ubingwa
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
Toa likes wewe utawaonaHamnitaki niondoke nini?? Shilingi ngapi kujoin?
SorryPrezdaa unakosa adabu..ibwege!
Lugha ya kuudhi kwa asiyekuudhi..futa kauli
Na nna hakika hata Mechi ijayo pia tutashinda......
Wajanja wote wako Yanga
Nadhani ameomba umsamehe.Prezdaa unakosa adabu..ibwege!
Lugha ya kuudhi kwa asiyekuudhi..futa kauli
Kwenye msafara wa mamba..........Kuna watu hawajui kwanini wako huku hawa like chochote wamekuja kivuna likes humu!
Jimena waambie
Tayari msamaha. Tunaonyana yanaisha hakuna kisasi..mzima?Nadhani ameomba umsamehe.
Dawa sio kuwachana bali ni kutumia ile kanuni vilivyoIbabidi tuanze kuwachana live bila chenga.
Niko poa kaka.Tayari msamaha. Tunaonyana yanaisha hakuna kisasi..mzima?
Simple like thatSIMPLE
Asiyekulike USIMLIKE
Paroko acna kulalamika
......................
