Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Safi sanaaaaaa![]()
Full time
...............
Poa tu habari ya kazi??Habari za jioni wakuu.
Salama kabisa jimena nashukuru mwenyezi mungu anasaidia.Poa tu habari ya kazi??
Wataelewa tuSafi sanaaaaaa
Yanga 3
Acha sifa mkuu.Yanga anashinda hadi unasahau kama kwenye mpira kuna kufungwa au kutoka sare...
Raha za Jangwani.
Niko poa sanaaaSalama kabisa jimena nashukuru mwenyezi mungu anasaidia.
Natumai uko poa kabisa.
Naona unaendeleza kazi yako ya kulinda likes.Niko poa sanaaa
Pole sana shabiki mwenzangu wa Yanga! Ila ungetoa neno "blood" kwenye username yako na kuweka "SC".Acha sifa mkuu.
Ukiongea maneno yako ujue pia kuna mashabiki wa simba tunaumia.

Likes kwangu ni toa likes nikupe likes ,ukikausha na mimi nakausha vile vile kwani shs ngapi??Naona unaendeleza kazi yako ya kulinda likes.
Dadake mie!Poa tu habari ya kazi??
Acha sifa mkuu.
Ukiongea maneno yako ujue pia kuna mashabiki wa simba tunaumia.

Stand United ya ShinyangaHiyo STU ni timu gani? Mwenzenu siijui ni staki shari au? Nimerudi makapuku forum kule kwingine wamenizengua na siasa zao za Rais kuwa waziri nikaona ngoja nisepe maana naweza changia nikapelekwa kuleeeee.