shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Lee alivumilia sana,kukatiza milima yote hii kisa kujitambulishaKwetu upo ulipo shemela au
Lee alivumilia sana,kukatiza milima yote hii kisa kujitambulishaKwetu upo ulipo shemela au
Upo live Azam right?Ndio sheria
MmmmhJust movement madam Sakayo
EwaaaChapati za mpemba ... Muheza..!
Shemela mimi siwezi kukuchochea kabisaShemela umenichochea sana hivi me na wewe hizi mambo zimeanza lini
Ndio hivyo shemela
Nachelewa sababu nakusanya data zote broHahahaaa
Ilami mechi yaMan Utd ilianza napotea ikiisha ndio natupia video maana wewe unachelewa
.....
Ahahah yaan shemela we ni mchochezi jaman ni lee jaman hakunaga zaidi ya lee hapo kama nakuona
duhNdiooUnabisha au
Shemeji yetu hajamboMbona jamani?
Uko poa na mwenzako??
Mimi naangalia Online tu bila kwere na mtu ikifika17:50 naunga huko mwanzo mwishoMuda wa kwenda OT sasa
Leta mwenyeweNjoo ulibebe tani yako
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Mimi huku sina timu nashangaa tu watu wa ndondoHahaa..
Team yako! Pole mkuu
Hapo sawaHapana shemela itokee fanta na mirinda hakuna ndio nitakunywa pepsi au coca
Bado dakika 18Muda wa kwenda OT sasa
Ndio hivyoUnasemaje