Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko achana napo aisee kunataka moyo hakuzoeleki shemela ukijijua una safari ya huko unawaza sasa mbona huko cha mtoto ukifika mlalo unapandisha milima tu kuna kijiji kinaitwa tewe hiko shemela unapandisha milima tu kalibia masaa 5 hivi au zaidi kipindi kulikuwa hamna boda boda sasa hivi unajipandia boda mpaka tewe elf 15Lee alivumilia sana,kukatiza milima yote hii kisa kujitambulisha