Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Kwahiyo shemela we ndio furaha yako me kunyooshwa si ndio mana yakeMdogo wako unamnyoosha aisee
Lee hawezi kukubali kabisa labda asijueLee atakubali?
Yaani nimekaa chini na kutafakali nitalima kwaajili ya chakula sio biasharaKilimo ni kizuri sana kama soko ni zuri, tatizo ni soko,
Bahati mbaya na serikali yetu inaimba viwanda tu
Kilimo imekitupilia mbali, sijui kama viwanda vitajengwa,sababu mzalishaji mkuu wa malighafi ya viwandani hajapewa kipaombele
Sawa akija msalimie mwambie namsalimiaYupo, leo anatembelea ndugu jamaa na marafiki
Nafichaje sasa na kimini kilivyo kifupi ebu nipe adhabu ya kunywa heinken dada nitaiwezaHahaha
Hiyo ni adhabu moja iliyobeba ingine... Lazima uruke kichura, lazima ufiche naniliuu yakoo.... Sasa usipokee tena Simu uonee
Aliaga majuzi anaingia kwa kubeep tu yupo lakini inaonekana kuna mambo yanambanaLee yuko wapi?
Okey..Aliaga majuzi anaingia kwa kubeep tu yupo lakini inaonekana kuna mambo yanambana
AhahaaaHivi dada sakayo umeniita nirudi kapuku mbona haupo me natoka halaf uje unisumbue tena mimi



HeeeAisee si kuitwa vile nirudi kapuku kuna nini jaman
UmeelewaSijakuelewa ujue...!
Aahh.. kaja na gia ya kienyeji..Ni mwenyeji huyo
Heineken kwa kazi ipiNafichaje sasa na kimini kilivyo kifupi ebu nipe adhabu ya kunywa heinken dada nitaiweza
Hayo Mambo veepeAliaga majuzi anaingia kwa kubeep tu yupo lakini inaonekana kuna mambo yanambana
Nipo...Hivi dada sakayo umeniita nirudi kapuku mbona haupo me natoka halaf uje unisumbue tena mimi
No..Umeelewa
Hapana, ila tu ni kiboko yakoKwahiyo shemela we ndio furaha yako me kunyooshwa si ndio mana yake