GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,161
Njoo nigongee chumban Mama mwenye nyumba wanguHahaha
We mpangaji hebu nipe ya vocha
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo nigongee chumban Mama mwenye nyumba wanguHahaha
We mpangaji hebu nipe ya vocha
It's yo dayBaby
Nakuhamu ujue..It's yo day
Amen... Barikiwa kakaAmeni
Mungu akupe hitaji la moyo wako
Akuu
Shemeji unalima nini msimu huuAsante mi sijafichwa kazi zimenizidi mandalizi ya kilimo yamepamba moto
Asantee...Na Mie naona...
Pole
Naandaa tu shemeji maana najua mwakani naweza nikaachana na kilimo nikahamia kwenye shughuli zingineShemeji unalima nini msimu huu
Kama nakuonaa vileYeeap! Kale ka mkono na kazi zake![]()
Tuma kwenye halo money
Duh mkwala mzitoHahaha
Hiyo ni adhabu moja iliyobeba ingine... Lazima uruke kichura, lazima ufiche naniliuu yakoo.... Sasa usipokee tena Simu uonee
Nipo shemejiShemeji nakuona
Aisee
Wa kawaida shululuDuh mkwala mzito
Mdogo wako unamnyoosha aiseeWe leo unacheka tuu
Sawa shemeji dada yupoNipo shemeji