Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Aug 13, 2017 #261,861 Shunie said: Kho kho Click to expand... Tangawizi inakuhusu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 13, 2017 #261,862 husna muba said: Tangawizi inakuhusu Click to expand... Au niletee soda yake ya baridiiii
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 13, 2017 #261,863 Shunie said: nilijua tu halaf jana kumbe ulinipigia mchana ile simu nimeishika usiku nakuta missed call Click to expand... Wewe halotel huipendi kabisa
Shunie said: nilijua tu halaf jana kumbe ulinipigia mchana ile simu nimeishika usiku nakuta missed call Click to expand... Wewe halotel huipendi kabisa
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 13, 2017 #261,864 shululu said: Wewe halotel huipendi kabisa Click to expand... Ahahha yaan hiyo kwa ajili ya sakayo ujue hamna mtu ninayewasiliana naye kwenye hiyo no zaidi ya dada tu
shululu said: Wewe halotel huipendi kabisa Click to expand... Ahahha yaan hiyo kwa ajili ya sakayo ujue hamna mtu ninayewasiliana naye kwenye hiyo no zaidi ya dada tu
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 13, 2017 #261,865 Sakayo said: Hahaha Mwenyewe siko comfortable na hii kabisaa... Bora ile yangu na T ujue Click to expand... Hapo Safi
Sakayo said: Hahaha Mwenyewe siko comfortable na hii kabisaa... Bora ile yangu na T ujue Click to expand... Hapo Safi
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 13, 2017 #261,866 shululu said: Itakuwa hivyo Click to expand... Shemela na wewe unaunga hoja me ni muhenga jaman
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Aug 13, 2017 #261,867 Shunie said: Ndiwoooo lakini sasa ni bibi Click to expand... Mr and Mrs T.... Sasa hutaki uzee auuuu
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 13, 2017 #261,868 Shunie said: Hata me na wewe shemela hatujawahi gombana ila usisikilize maneno ya watu Click to expand... Usijali mimi nakujua vizuri
Shunie said: Hata me na wewe shemela hatujawahi gombana ila usisikilize maneno ya watu Click to expand... Usijali mimi nakujua vizuri
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 13, 2017 #261,869 Sakayo said: Mr and Mrs T.... Sasa hutaki uzee auuuu Click to expand... Hapana dada nakataaje uzee lakini si ndio nilipo sasa hivi ebu rudisha ile avatar nini lakiniii
Sakayo said: Mr and Mrs T.... Sasa hutaki uzee auuuu Click to expand... Hapana dada nakataaje uzee lakini si ndio nilipo sasa hivi ebu rudisha ile avatar nini lakiniii
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Aug 13, 2017 #261,870 shululu said: Wewe halotel huipendi kabisa Click to expand... Sio haipendi anajua kabisaa ndo nampataga humoo... Ananifanyia kusudi tuu
shululu said: Wewe halotel huipendi kabisa Click to expand... Sio haipendi anajua kabisaa ndo nampataga humoo... Ananifanyia kusudi tuu
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Aug 13, 2017 #261,871 shululu said: Hapo Safi Click to expand... Wapii tena
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 13, 2017 #261,872 shululu said: Usijali mimi nakujua vizuri Click to expand... Ila namuona maka shemela anataka kutugombanisha ujue
shululu said: Usijali mimi nakujua vizuri Click to expand... Ila namuona maka shemela anataka kutugombanisha ujue
Mkushi Da Gama JF-Expert Member Joined Jun 23, 2015 Posts 3,692 Reaction score 4,995 Aug 13, 2017 #261,873 Mornng Wazee
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Aug 13, 2017 #261,874 Shunie said: Nimezaliwa muhimbili mie ooooh Click to expand... Kwenye honi ža daladala
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Aug 13, 2017 #261,875 makaveli10 said: Teh teh teh... aaagg!! Husna umenikosha, enzi hizo tycoon ni tycoon kweli.. unarud mayenu hutoki hata jasho.. mie n mwanangu shululu.. Wakat huo morogoro road haina hata lami... siku zinaenda kweli.. Tycoon MAKAVELI Jr. Click to expand... kabla hujawa muhenga
makaveli10 said: Teh teh teh... aaagg!! Husna umenikosha, enzi hizo tycoon ni tycoon kweli.. unarud mayenu hutoki hata jasho.. mie n mwanangu shululu.. Wakat huo morogoro road haina hata lami... siku zinaenda kweli.. Tycoon MAKAVELI Jr. Click to expand... kabla hujawa muhenga
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Aug 13, 2017 #261,876 Shunie said: Hapana dada nakataaje uzee lakini si ndio nilipo sasa hivi ebu rudisha ile avatar nini lakiniii Click to expand... Ile Hapana Aiseeee... Unajua sijielewi eeehh... Saa nyingine najitafuta.... Woooiii
Shunie said: Hapana dada nakataaje uzee lakini si ndio nilipo sasa hivi ebu rudisha ile avatar nini lakiniii Click to expand... Ile Hapana Aiseeee... Unajua sijielewi eeehh... Saa nyingine najitafuta.... Woooiii
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 13, 2017 #261,877 shululu said: Kwenye honi ža daladala Click to expand... Ewaaaaaaa shemela
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 36,011 Reaction score 104,597 Aug 13, 2017 #261,878 shululu said: Niliwaona sana, unajua mimi na shemeji yako hatujawahi kugombana Click to expand... Hilo jambo poa zaid ndan ya ndoa.. Tycoon MAKAVELI Jr.
shululu said: Niliwaona sana, unajua mimi na shemeji yako hatujawahi kugombana Click to expand... Hilo jambo poa zaid ndan ya ndoa.. Tycoon MAKAVELI Jr.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,081 Reaction score 464,013 Aug 13, 2017 #261,879 Mkushi wa kusi said: Mornng Wazee Click to expand... Mornie mzee wa jani la kijani
Husna Muba JF-Expert Member Joined Jan 28, 2017 Posts 14,524 Reaction score 44,585 Aug 13, 2017 #261,880 makaveli10 said: Oii.. mbona mornie mornie... Umekojoa kitandani nin?? Umemsaidia bitoz nyangema.. Tycoon MAKAVELI Jr. Click to expand... Nani huyo?
makaveli10 said: Oii.. mbona mornie mornie... Umekojoa kitandani nin?? Umemsaidia bitoz nyangema.. Tycoon MAKAVELI Jr. Click to expand... Nani huyo?