Makapuku Forum

....sure, hajakuelewa hata kidogo! Love affair ni kitu cha moyo na sexual affair ni hisia zaidi , ukikosa cha pili huumii maana unaweza kuipata popote ila ya kwanza ikichezewa basi si ajabu ukaona mtu anachukua maamuzi utakayoyaita ya kijinga
Watu wa aina yake wako wengi siku hizi ....huwezi kuelewa mpaka upate hio experience! Sasa utaminyana naye mpaka asubuhi hajakutana nayo hiyo... Na mtu anaweza akaishi mpaka akafa asiexperience jambo hilo.
 
8/David Paterson Alizaliwa Mei 20 mwaka 1954
Mlemavu huyu wa macho aluamua kujikita kwenye siasa na kufanikiwa kuwa Gavana huko Marekani
Alikuwa Gavana wa 55 wa New York yaani aliliongoza moja kati ya jiji la maana kabisa huko Marekani....ni bora huyu mlemavu mwenye busara kuliko kuongozwa na Bashite !!
Aliliongoza jiji la New York kuanzia mwaka 2008 hadi mwaka 2010
Ni msomi kutoka Colombia University na hakuridhika hivyo akaenda kumalizia na shule ya sheria (uwakili) huko Hofstra Law School : Huyu ni Mmarekani mwenye asili ya Afrika kama Barack Obama na mpambanaji haswa na alisifika kwa hotuba zenye kuvutia
.......
 
7/Helen Keller
Ni mzaliwa wa Alabama
Alizaliwa mwaka 1880 na kufariki dunia mwaka 1968 akiwa na umri wa miaka 88
Huyu sio tu alikuwa haoni bali pia hasikii kitaalamu wanaitwa Kiziwi asiyeona ukienda pale shule ya Uhuru Mchanganyiko utawakuta watoto wa aina hiyo hawa kueafundisha ili wakuelewe ni jambo gumu linalohitaji moyo na kujitolea
Sasa huyu pamoja na hali yake alikomaa na shule na kufanikiwa kuwa Kiziwi asiyeoona wa kwanza kupata Shahada ya Sanaa yaani alikomaa na nukta nundu tena bila kumsikia mtu hadi chuo kikuu !!!
Huyu alikuwa ni Mhadhiri &Mtunzi
Kaandika vitabu kibao vilivyotikisa na kuishangaza dunia
Huyu ndiye kiziwi asiyeona maarufu zaidi duniani
.......
 
6/Jose Feliciano
Alizaliwa Septemba 10 mwaka 1945
Huyu ni msanii kutoka Puerto Rico
Ni mwimbaji na mtunzi/mwandika nyimbo mwenyenye mafanikio makubwa nchini humo na duniani kwa ujumla
: Wimbo wake wa Feliz Navidad unakimbiza duniani kwa ujumla kila unapofika msimu wa sikuu ya Christmass
Jamaa anaimba kwa kutumia lugha za Kilatini na Kiingereza hivyo kufanikiwa kuliteka soko
Nyimbo zake nyingine ni kama vile
Su Hija Me Gusta
Light My Fire


.
.......................................
Zitaendelea baadaye
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…