OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,311
Duuh ayo maneno sjaelewa chochote mkuu.Hii inasababibshwa na miamba ya chin kuvunjka along a fault(sudden slip on a fault), kuvunjika huku kwa ghafla, hii inasababisha seismic waves inayofanya ardhi itingishke haya mambo yanatokea kwenye miamba ya lithosphere mwamba wa chin kdogo ya uso wa dunia km km 50 mpaka 140
Mungu awasaidie tu jamaan watoke haya mambo ya visasi kuhusu mambo ya mapenzi sio mazuri kabisa
Usiposifiwa inabidi ujisifie tu hakuna namna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiwe unapotea sana love, maana nanusurika kupigishwa sound
Madame S
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Naona umetupia 260k,
Kuwa jasiri, sasa nikienda vitani je itakuaje my love?
Cha msingi chukulia hizo ni changamoto Ila fanya maamuzi sahihi tu
Santee auntPole shangazi
Na yy angenyamaza asingesema km kanishindwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaa.. jaman simlikuwa wawili yann kuyaleta kwenye hadhar bibie..
Na tena si ungeenda tu kulala, kwan ungelala ungegeuka penis snake ama[emoji23] [emoji23]
We kibiriti ngoma mbona hvyo, au ulitaka nikugonge ww nin.. maana limekukaa kweli bibie[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si umwambie tu km Jana ulimgongea demu wake
Usipotee hivyo babu jamaan tutakusahau ujueNipo mjukuu wangu... Mimi pia nilikumiss
Tunaisubiri kwa hamu ndugu yanguNitatupia historia ya hii vita ina episode km 8 hivi
Hbd Hulk HoganLeo katika Historia
1953 - Hulk Hogan anazaliwa.
Ni mwanamieleka toka nchini Marekani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Twin umemzimikiaaaa[emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe..!Si wewe na mpicha wako ule..
Babu usibadili bana tumeshalizoea hiliHili swali nimelichoka Jimena ...na sijui kwa nini watu wanafikiria negative... Kuna watu wanajiita muosha rungu mwengine nanaanto........nashindwa Kumalizia. Hivi hawa wanaulizwa.... Nikiulizwa na mtu mwingine ntatoa sadaka likes zangu nafungua Id mpya.
.. Sijakasirika lakini Jimena kuwa na amani full.
Tena wedk end ndio vizuriNitatupia historia ya hii vita ina episode km 8 hivi
Maamuzi mazuri binamu...siendi mpenzi. Niende wapi mimi wakati kwako ndo nimefika.
Pamoja sana mdau
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatare sanaHahaa... na kwann alegeze wakat vidume tumeumbwa kukaza..
Dr. Manyau nyau..Mtoto Wa Dr ng'wizukulu jilala matunge[emoji1]