Makapuku Forum

I guess alikuwa anakutamia tu mkuu
 
*Darasani*

*MWALIMU* Nakua mbona Leo unawaza sana darasani?


*NAKUA* kwasababu baba yupo polisi na mama yupo hospitali

*MWALIMU* ooh pole mwanangu, kwa hiyo unahitaji kwenda nyumbani?

*NAKUA* ndio MWALIMU

_NAKUA akaenda nyumbani, na MWALIMU akawauliza wanafunzi wenzie_

*MWALIMU* kwanini baba Yake NAKUA yupo polisi na mama yake yupo hospitali?

*wanafunzi* kwasababu baba yake ni polisi na mama yake ni nesi



*MWALIMU* pumbavu sana huyu mtoto! Mwiteni arudi


*
‍♂*
 


Madame S
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…