Husna mapicha picha...
![]()
Tunashukuru tumemaliza salama harusi ya bitoz
Ngoja husna aje..! Naonesha tuu ziko vipi..Dada husna hebu tutupie vipicha picha kutoka kwenye page ya Sarcasm..
Ndo alivooMbona bitoz kanuna?
.
Sura halaf mbona kama yule wa futuhi..
Ndo alivoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
Tunashukuru tumemaliza salama harusi ya bitoz
[emoji23] [emoji23]Sisi tunachambu mpira wewe unachambua mapenzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
....