Makapuku Forum

Makapuku Forum

f4e733f82e8295192fde7ddcc2cb6730.jpg


Role model...
 
Samtaimu wanapendelea waziwazi ushabiki tuweke pembeni
Kumbuka Howard Webb alivyokuwa anatupa penati feki Man Utd

Msimu uliopita Gunners ndio mliongoza kwa kubebwa tena dakika za majerushi milpewa penati/magoli tata au magoli ya ushindi

.....
Yawe magoli tata yawe magoli benz sie hatujuj, alie mbele yetu sasa hiv tunatafuna mpaka mifupa dadeki..

 
10/Albino Cave Crab
28a6cc72a10e343ef22d4fbd3927c328.jpg
1ba3e9eafdbd099c24754aa7ae537d3c.jpg
941e551f7c397ec6cc645dc3491052e2.jpg

Kuna mtu aliyeshika jembe na kulima kijijini kwenye majimaji na asiwajue kaa? Wadudu hawa huwa ni noma kwa kukata vidole
Sasa hapa naongelea jamii ya kaa albino...kama mnavyojua Maalbino wana uoni mdogo au vipofu kabisa
Wanapatikana kwa wingi huko Canary Islands
Wanasayansi wamewachunguza na kubaini hawa sio kaa bali ni Squat Lobsters
Mimi siyo mwanasayansi hivyo sielewi kitu kuhusu lobsters
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom