makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,860
- 104,022
Trump himself![]()
Uncle DT
Trump himself![]()
Uncle DT
Mawe.. unaanzia kuipatia wapi..Na yako imevujaaa

Hapo ndio katabasam
Nyangema kwenye ubora wake, leo kavuta goma... anajipoza tu nait kali..Kweli bitoz nyangema kweliii hadi kwenye harusi ananuna!
Yooooo maweeeee....hii unaikumbuka mko sehemuMawe.. unaanzia kuipatia wapi..
Kama yangu ikivuja yako itamwagika.
![]()
![]()
![]()
Unanikoshaaa9/Olm![]()
Wanafanana na mijusi ila hawa siyo reptilia bali ni amphibia jamii ya salamander[/b]![]()
Hawa hawana hata vimacho vya kuzugia hivyo mabichwa yao yapoyapo tu kama tofali
Hawaoni ila wana uwezo mkubwa wa kuhisi
Wana uwezo wa kutambua(detect) mawimbi ya umeme hivyo kwao kutoona sio ishu na hawakamatwi kiboyaboya
Wanapendelea kuishi mapangoni haswamajini kernye nchi mbalimbali za Ulaya
......
Sawa shemela nmekuelewaAahh.. tulikuwa tunapuliza wakat tupo xcul, shem mbona mgumu kuelewa..
Teh teh teh.. mie siwez kuwa na supu kama hyo..Yooooo maweeeee....hii unaikumbuka mko sehemu
![]()
Sawa shemSawa shemela nmekuelewa
Hawana sumu kali?!7/Kauai Cave Wolf SpiderBuibui wa kawaida![]()
![]()
![]()
Wazee wengine wa mapangoni !!
Simwongelei Spiderman wala Spiderwoman hapa namjadili buibui halisi asiyeona
Wanapatikana kwa wingi kwenye sehemu korofi zisizopitika kwa urahisi(remote areas) huko katika Jimbo la Hawaii nchini Marekani
Kutokuona kwap ndio kumewafanya wajitenge maana wanahofia maadui
Ukuwaona kuwagundua ni rahisi tu sababu tofauti na wolf spider wengine wenye macho makubwa tu wao hawana
......
Sio kila buibui ana sumuHawana sumu kali?!
Sasa kama unanichukia mkulu sorry ...hii hapaTeh teh teh.. mie siwez kuwa na supu kama hyo..
Sorry mkuu ...hawa jamaa sio kwamba hawaoni kabisa ila wanasimple eyes at time ukisoma ancestors wao inaonekana kuna uwezekano walikuwa na compound eye ....japo kiujumla macho yao huwez kuyaona yamefunikwa na wanaona vizuri tu ...7/Kauai Cave Wolf SpiderBuibui wa kawaida![]()
![]()
![]()
Wazee wengine wa mapangoni !!
Simwongelei Spiderman wala Spiderwoman hapa namjadili buibui halisi asiyeona
Wanapatikana kwa wingi kwenye sehemu korofi zisizopitika kwa urahisi(remote areas) huko katika Jimbo la Hawaii nchini Marekani
Kutokuona kwap ndio kumewafanya wajitenge maana wanahofia maadui
Ukuwaona kuwagundua ni rahisi tu sababu tofauti na wolf spider wengine wenye macho makubwa tu wao hawana
......
Sijasema kila buibui ana sumu nmekuuliza hawana sumu nikiwa namaana wapo wenye sumu na mapopoma pia... jamii hiz huwa na sumu kali..Sio kila buibui ana sumu
Sijajua kama aina hii wana sumu
Nachojua tu ni vipofu
......
Hahaa.. hapana kwa kweli mie nikaoe mke john cena, akuuuu.. si mimi huyoSasa kama unanichukia mkulu sorry ...hii hapa![]()
Full kudekaa

Urumba huu, kwetu kigambon ni wa kumwaga.6/Sea Urchins![]()
![]()
![]()
Nauzungumzia "uchini" wa baharini siyo uchini unaouwaza wewe
Wanasayansi wameshindwa kung'amua kama kweli hawaoni kabisa au wanaziga tu maana wanabadili rangi zao kama vinyonga kuendana na mazingira ya mwanga
Pia wana tabia ya kujongea kuufusta mwanga ,siyo hivyo tu wana uwezo wa kuzalisha protini ya kuwawezesha kutambua mwanga
Hivyo hawa vipofu hawaaminiki hata kwa watafiti vichwa vinawauma tu
..................................
Zitaendelea baadaye