Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Samtaimu wanapendelea waziwazi ushabiki tuweke pembeniWale marefa sio wabongo bwana kwa hyo tulishinda kihalali
Kumbuka Howard Webb alivyokuwa anatupa penati feki Man Utd
Msimu uliopita Gunners ndio mliongoza kwa kubebwa tena dakika za majerushi milpewa penati/magoli tata au magoli ya ushindi
.....
