Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
THE DOM
Sehemu Ya 16
Mtunzi..... MoonBoy
Simu No. +255714419487 WhatsApp
Instagram....
Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←
SON OF PRESIDENT GU
Sahi alikuwa amebeba kibegi chake mgongoni, aliwaangalia makamanda zaidi ya 50 wakiwa wamemzunguka.. Hajakaa sawa mara General Nyange katokea huku akisema
"sijawahi kuona mtoto anaempeleleza baba yake"
Aliongea general akizani kuwa ni mtoto wake
"ulizani kwa maneno hayo utaachwa"
"haijalishi... Lakini nami sintokuacha hai hata kama unasemekana ni mtoto wangu,.."
Sasa generally akiwa anaendelea kuongea mara simu yake inaita... Kuangalia jina alishtuka sana,...
"hallo boss"
Aliongea general huku akiiskiliza kwa makini sauti hio
"kwanini umeniuzia Discate feki... Unataka kuanzisha vita na mimi..."
Aliongea yule mzungu aliouziwa dom masaa machache yaliopita,..
"unasemaje boss"
"dom ulionipa ni feki haisapoti kwenye mashine yangu... Sasa nakupa masaa sita, nisipoipata hio original dom, shingo yako ni halali yangu, washenzi wakubwa nyie"
"basi boss, niongezee masaa sita mengine"
"kesho saa sita dom nisipoipata, weka tayari shindo yako... Pumbavu sana, bilioni 500 unanipa dom feki??"
General kwa hasira alikata simu kisha akamuangalia sahi kwa hasira, huku akimfuata pale alipo..... Kambi haijamjua sahi vizuri kuwa ni nani na ana uwezo gani.....
ENDELEA........
Sasa kila kona pamechafuka sahi anakwenda kujulikana na yote hayo ni kuwa karibu na wanawake wasio na maana, sahi alioona nyumba yake ikiwa inasachiwa na kitengo cha TSS, ambacho hata yeye yupo kama mwanafunzi, lakini pia kumsachi huko kulitokana na kumuhisi mtu huyo kutokana na vitu anavyotumia, kwanza ana gari zenye usajili wa kiserikali, ana jumba kubwa hata rais hana,... Afu mbaya zaidi ni mwanafunzi tu wa upelelezi na ujeshi,
Sasa leo wanamtolea uvivu kijana sahi, lakini wote hawakuwa wakimjua
Sahi akiwa kazungukwa na wanajeshi wenye viwango vya hali ya juu, yaani sio wale wanafunzi anaosoma nao, bali ni wale walimu waliokuwa wakiwafundisha kila siku, sahi aliwaangalia sana makamanda hao, sijui hata alifikiria nini katika kichwa chake,.. Mana alionekana kunyoosha mikono juu kana kwamba kakubali kukamatwa kama wanavyotaka wao... Hata General alishangaa kuona sahi kasaliti amri mara moja na kunyoosha mikono juu,.. Sahi alikamatwa na kuchukuliwa kila kitu chake kisha akaingizwa katika sero za kijeshi,...
Begi lake lililokuwa na vitu vingi ikiwemo laptop yake na viwaya waya vyake vya kazi, bila kusahau internal drive, simu yake ya mkononi vyote vikiwa vipo mezani vikaanza kukaguliwa na mpelelezi wa kijeshi,.. Lakini kila wanachokifungua kinaandika NO FILES simu na laptop vyote vinaandika no files, maana yake ni kwamba kila kitu kilifutwa hakuna kitu chochote katika vyombo vya sahi... Sasa General akakumbuka kuna siku walifanikiwa kumhoji yule gaidi ambae alipona katika wale waliouawa na sahi kule porini, yule ambae alikuwa haongei, alikumbuka mtu yule alimwambia kuwa mtu aliotuvamia alikuwa kavaa saa mkononi ambayo saa hio inapiga picha,. Generally alitoka mbio na kwenda kwenye sero za kijeshi, na kuhakikisha anaichukuwa sa hio,.. Sasa General ile anafika sero, anakuta sahi anaongea na simu lakini hakuona simu aliokuwa akiongea nayo,
"BB hapa Naongea"
Aliongea sahi na wakati huo hajui kama General keshafika eneo hilo
"sema umeshapa dom"
"hapana, wamenikamata hapa"
"nini????, kwanini wamefanya hivyo'"
"nina ushahidi wa siri zao za kijeshi"
"kwanini hujaniambia kabla"
"samahani mkuu,... Ninayo rekodi hapa katika saa yangu"
"hakikisha unakuja nayo... Na istoshe pia nakuja huko"
Sasa General anajiuliza hio simu anayo ongea nayo ni ipi, mana hakuwa kashika simu wala nini lakini alikuwa akiongea,...
General aliingia na watu kama wanne hivi na kumnyang'anya sa hio ambayo punde tu alikuwa akiitolea habari kwa Mheshimiwa raisi,. Sasa ile saa tegemezi yenye ushahidi nayo imechukuliwa, na hawakutaka kuondoka bila kumkagua, kwasababu anaongea na mtu lakini hawaoni simu,.. Sahi alikaguliwa katika masikio yote hakukuwa na chochote kile, General akajua huyu mtu alikuwa anatutega tu,
"niambie dom original umeiweka wapi"
General Alimuuliza sahi mana hata hio feki yeye ndie alikuwa nayo, na walimpa yakwao kisha akawapa feki ambayo ilikuwa na codes zake,...
"ipo nyumbani, ila hio niliowapa ndio original, sema huyo mteja wenu ndio anawachezea akili"
Aliongea sahi tena bila kuogopa mana anajua njia zote za kujitetea,
"unajua utatoka ukiwa maiti kijana"
"ni sawa pia"
General alichukuwa simu yake na kumpigia Joseph,
"Halo Joseph"
"yes mkuu"
"tafuta dom... Hakikisha unaipata dom"
"mkuu.. Dom si umeshaipokea toka juzi na leo umeiuza"
"kasema ile ni feki"
"Whaaat"
"ndio... "
"lakini mkuu, hapa katika chumba chake nimetafuta kila kona sijaona hio dom"
"hapana, kwani si ulimuona nayo akiingia hapo"
"ni sawa, lakini hakuna mkuu"
"Oooohh shit, basi lazima aseme dom iko wapi"
Sasa sahi nae ndio anashangaa kusikia kuwa Joseph kaikosa dom kwenye chumba chake,...
"amesema dom hakuna"
Sahi alijikuta anamuuliza general kuhusu hio dom,
"utaitafuta tu hio dom, pumbavu... Shika saa hii kagua"
General alimpa kijana wake ile saa aikague, wakati huo wanatoka kuelekea ofisini kwao kuikagua hio saa lakini sahi hakuwa na wasiwasi na hilo, mana keshambiwa raisi anakuja....
Huku nyumbani kwa sahi, Joseph kuna kitabu chenye mambo ya operesheni za kibinadamu, hakutaka kukiacha alikichukuwa japo hajakijua kina maana gani,.. TSS waliondoka katika nyumba ya sahi, wakati huo raisi anaangalia jinsi mtoto wake alivyokuwa akitoka katika jumba hilo, mana Joseph alijaribu kuzima kamera wakazishindwa hivyo wakakubali kuonekana na yeyote anaetaka kuwaona,... Sasa rais anamwona mtoto wake akiwa ndio mkuu wa kikosi anacho kiongoza kwa siku hio... Joseph alitoka na kupotelea kabisa, wakati huo rais anatoka Ikulu na kuchukuwa private jet inayompeleka mpaka TMA kambini,
"general... Naona private ya raisi imetua pale"
General alishtuka kusikia kuna private ya rais imetua katika kambi ya jeshi,
"kaja kufanya nini tena"
Aliongea general wakati huo general deo nae mavi debe, mana rais aliitembelea jeshi mwezi uliopita sasa na leo vipi, na General Nyange alishapewa taarifa kuwa kijana huyo anashirikiana na raisi, lakini General nyange hakuliweka kichwani akaona huo ni uzushi wa Joseph..
General Nyange na deo wanapiga saluti mbele ya rais,
"kabla sijapokea saluti zenu naomba kijana atolewe"
Aliongea mheshimiwa rais, wakati huo deo haamini kama kweli sahi anamilikiwa na rais, na rais ndio mtoa tamko la mwisho serikalini,..
Deo alichukuwa funguo ya sero kisha akawa anakwenda, wakati huo General Nyange anamwambia mheshimiwa kuwa
"lakini mheshimiwa... Huyu kijana ni spy"
"unajua huo uspy kapewa na nani"
General nyange kusikia hivyo akajua tayari, kesha ungua, lakini sasa ile saa walishaifuta kila kitu, yaani ushahidi wote umefutwa mana ulikuwa umejaa katika saa, na hapo mr Nyange hakuwa na wasiwasi juu ya hilo mana ushahidi wa kuona hakuna,... Kweli sahi alitoka huku akiwa anakabidhiwa vitu vyake,.. Kitu cha kwanza sahi alikimbilia saa yake, lakini alishangaa inamwandikia NO FILES, alitoa macho wakati huo General deo anamcheka sahi, mana ushahidi wote umefutwa,...
Sahi alikasirika sana lakini hakuwa na jinsi, ila mawazo yake yote yapo kwenye dom, mana anajua dom ipo kwenye kibegi chake kule nyumbani, sasa anashangaa kuskia dom haipo, akajua lazima Joseph anaimiliki dom mana yeye ndie alievamia,..
Private jet ilinyanyuka sahi akiwa ndani yake,... Lakini sasa sahi alikuwa anacheka sana, na mageneral wote walikuwa wakishangaa sahi anacheka nini,... Yaani kakauka mbaya mbovu, kisha akaandika X kwa hewani.. Mageneral wanaangaliana huku wakijiuliza kwanini sahi acheke,... Sasa baada ya sahi kicheka mara generally Nyange nae kacheka,... Sahi akizidi kushangaa kicheko cha General nyange, akashngaa kwa chini kuna wanajeshi walioshika mitutu, yaani generally kesha panga hata kumuondoa rais.... Na wakati huo ndege ndio inaruka juu kwa safari,..
"aisee, pita kulia mara moja"
Aliongea sahi baada ya kuona chini kuna hatari, Mheshimiwa kaona kila kitu, na akajua kiwa hata hapa jeshiwkuna jipu,... General nyange alishangaa kuonda ndege imepita kulia hivyo ipo mbali na mitego yake,.. Hivyo akawa ameshindwa kufanya jambo lake,...
Sasa huku ndani ya ndege, mzee GU kamgeukia sahi na kumwambia
"hata wewe ni jipu,... Utakaa miezi sita jela"
Sahi alitoa macho huku akiuliza
"ujipu wangu ni nini mkuu"
"utajua tu... Umeficha siri ukajua sintoijua??.... Rubani, tuelekee maweni prison jail"
Sahi haamini kama kweli anapelekwa jela, mbaya zaidi dom hajui ilipo... Maana yake imeshapotea....
ITAENDELEA.....