Makapuku Forum

10/John Tyler Alizaliwa mwaka 1790 na kufariki dunia 1962
Huyu alimalizia muhula wa nwa mtangulizi wake
Alilikoroga kwa vyama vya Liberty na Democrat hivyo akajikuta anashindwa kusapotiwa
Hivyo kuishia tu kuitwa Acting President na pia kuitwaitwa "His Accidency"
Alitawala kuanzia April 4 mwaka 1841 na kuachia ngazi March 4 mwaka 1845

Alikaa Ikulu siku 1,430
........
 
9/Andrew Johnson
Alizaliwa mwaka 1808 na kufariki dunia mwaka 1875
Huyu alichukua madaraka na kumalizia muhula wa urais wa Abraham Lincon aliyeuawa akiwa madarakani April 1865
Huyu bwana akawa na kiherehere cha kujenga chama upya kama Sizonje matokeo yake akahikura anaharibu
Alikaa madarakani kuanzia 1865 hadi mwaka 1869

Alikaa Ikulu siku 1,419
......
 
8/Chester Arthur Alizaliwa mwaka 1829 na kufariki 1886
Huyu jamaa alikuwa akimalizia nuhula wa Rais Garlfield ila baadaye akakatwa kamaMamvi kilichompata kwenye Chama Cha Mimea
Anakumbukwa kwa kupitisha sheria za kifwanzi za Uhamiaji na ndio kitu kilichochangia kumwaribia
Alitawala kuanzia mwaka 1881 jadi 1885

Alikaa Ikulu siku 1,262
.....
 
7/John F Kennedy Alizaliwa mwaka 1917 na kuuawa mwaka 1963 akiwa madarakani
Ni maarufu kwa jona la JFK ila kando yake pia kuna RFK{Robert} na EFK(Edward} bila kumsahau RFK Jr wote hawa wanatokea kwenye ukoo unaoaminika kuwa na nuksi zaidi duniani kwani ukoo wao umeandamwa na vifo tatanishi
Inaaminika aliuawa n CIA/FBI kutokana na kutopendezwa nae
Ndiye Rais aliyeanzisha vita ya Vietnam
Anaaminika kuwa Rais bishoo na mpenda wanawake ...yeye na akina RFK na EFK wote wanaaminika kumlalia Marilyn Monroe na inaaminika wanahusika na kifo chake kupitia CIA/FBI
Alikaa madarakani kuanzia 1861 hadi 1963

Yaani siku 1,036
.....
 
Anatupulizia mwenyewe.. anatuona sie mapopoma, kama kujitekenya na kucheka mwenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6/Millard Fillmore Alizaliwa mwaka 1800 na kufariki dunia 1874
Huyu nae alimalizia muhula wa Rais aliyeachia ngazi sijui alifariki (Taylor)
Akajotahidi kukijenga chama kwa njia sahihi na kufanikiwa kuifanya amani na utulivu kuwa nguzo kuu ya kudumisha umoja na baadaye kurudi tena kilingeni
Aliingoza Marekani kuanzia mwaka 1850 hadi 1853

Yaani siku 969

..............................
Zitaendelea baadaye
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…