Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Hudumia watoto na mumeo anakaribia kuwasiliNa ndo naondoka hivyo. Napenda kuwa jukwaani tatizo majukumu yanabana sana
Hudumia watoto na mumeo anakaribia kuwasiliNa ndo naondoka hivyo. Napenda kuwa jukwaani tatizo majukumu yanabana sana
Jiangalie.....Amenn ni DUMEUnaniachaga mdomo wazi mdada
Kwani we ulipatikana wapi?Utampata wapi kama mimi?

Jaribu tena labda utapatia huwezi juaHudumia watoto na mumeo anakaribia kuwasili

Mweeh huo utakula na wasukuma wenzioNishaanza kuusonga tayari... afu wa kisukuma mgumu ka jiwe
Wala sina mpango nae, namwita mdada coz hajitambulishi, ka ni shoga atajijuaJiangalie.....Amenn ni DUME
Shauri ako !!!!
..................
Kumbe unataka mzinzi?Kwani we ulipatikana wapi?
Pastor atakuwa Youngblood labda atapunguza macho juu juu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nzuri, hajambo huyoKwema za miaka?
Jaribu bahati poti
Nijaribu nin mimi staki mchumba,wala hawaraJaribu tena labda utapatia huwezi jua![]()
![]()
![]()
![]()
Ulichosema. Mie mwenyewe sitakiNijaribu nin mimi staki mchumba,wala hawara
Bitoz nakuona unachechemea chechemea lep jukwaaniJiangalie.....Amenn ni DUME
Shauri ako !!!!
![]()
![]()
![]()
..................
Nani? Umepotea Sana kulikoni?nzuri, hajambo huyo
Ila nataka mpambe ka wewUlichosema. Mie mwenyewe sitaki
mpe hongera, mwambie nampongeza sanaNani? Umepotea Sana kulikoni?
Kuna watu hutakiwi kuingia kichwakichwa.....mtu km hataki kusema jinsia take ajue anataka kuchezea watu akiliWala sina mpango nae, namwita mdada coz hajitambulishi, ka ni shoga atajijua
aah usinifanyie ivo, yani na google zote za "jinsi ya kupika ugali mtamu " ili ukija nikudatishe afu ndo unanikatisha tamaa mapemaMweeh huo utakula na wasukuma wenzio
huyo aliyesababisha uwe mbali na upeo wa mboni zanguNani sasa![]()
![]()
![]()