Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Nimekutana na Lizzie town nikaona nitupie kapicha.Yaani ndo umemzeesha hivi nahrene??![]()
![]()
![]()
Nimekutana na Lizzie town nikaona nitupie kapicha.Yaani ndo umemzeesha hivi nahrene??![]()
![]()
![]()
Nipo. Nahudumia dreadslockUlipotelea wapi jamani....
Th name atakupa busha ngoja ajeNimekutana na Lizzie town nikaona nitupie kapicha.
WatagandianaTh name atakupa busha ngoja aje
Usije tu ukawa Kama the lateLinamo ninakupenda sana...agape love..hii ni zawadi ndogo tu, ukiwa karibu nami utakula mema ya nchi...narudia agape love only/

Pastor umenishindaWatagandiana
Sio kwa ubize huo aiseeNipo. Nahudumia dreadslock
Nani tena au wew ni mjaneUsije tu ukawa Kama the late![]()
![]()
![]()
Ohooo ogopa mzigo wa mtuPastor umenishinda
Ha haaaa naogopa usije kuwa Kama marehemu mzee wa red carNani tena au wew ni mjane
Yani na majukumu yana kamata Sana. Uzee nao unajongea ni tabu tupu.Sio kwa ubize huo aisee
Hapana cna masharti...ya kuleeHa haaaa naogopa usije kuwa Kama marehemu mzee wa red car
Umeacha kuhonga sadaka na fungu la kumi?Ohooo ogopa mzigo wa mtu
Hahaha.Th name atakupa busha ngoja aje
Nishaanza kuusonga tayari... afu wa kisukuma mgumu ka jiweMwite sumbai asonge ugali we upike mboga
Sijawahi kuhonga, mimi hutoa kwa moyo na sio kupewa fadhilaUmeacha kuhonga sadaka na fungu la kumi?
Duh naona upastor umekushinda labda tukupe ushemasiSijawahi kuhonga, mimi hutoa kwa moyo na sio kupewa fadhila
Leo nimefurahi umekaa jukwaani angalauUmeacha kuhonga sadaka na fungu la kumi?
Utampata wapi kama mimi?Duh naona upastor umekushinda labda tukupe ushemasi
Na ndo naondoka hivyo. Napenda kuwa jukwaani tatizo majukumu yanabana sanaLeo nimefurahi umekaa jukwaani angalau