Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,498
Tatizo bae we huonekani uko busy kuliko kawaida.huyo aliyesababisha uwe mbali na upeo wa mboni zangu
Tatizo bae we huonekani uko busy kuliko kawaida.huyo aliyesababisha uwe mbali na upeo wa mboni zangu
BusyNijaribu nin mimi staki mchumba,wala hawara
Hapo kweli hakuna namna inabidi tukomae tuYani na majukumu yana kamata Sana. Uzee nao unajongea ni tabu tupu.
kwahiyo leo upo hadi mida ganiTatizo bae we huonekani uko busy kuliko kawaida.
Bila kunichokonoa hupati raha?Nimekutana na Lizzie town nikaona nitupie kapicha.
View attachment 344225 karibia mtaanza kunywa chai bila sukari
Ndo tunakuja kuchungulia Kama hiviHapo kweli hakuna namna inabidi tukomae tu
Ndo naondoka nataka niwacheki the blueskwahiyo leo upo hadi mida gani
Naipenda Tanzania yangu isiyoisha majangaView attachment 344225 karibia mtaanza kunywa chai bila sukari
mi nishaacha kitambo, sikuhizi natumia asaliView attachment 344225 karibia mtaanza kunywa chai bila sukari
Shemeji mzima lakini?Bila kunichokonoa hupati raha?
Tutaweka hata chumvi..View attachment 344225 karibia mtaanza kunywa chai bila sukari
Sijambo! Yupo ila kabanwa sana Leo.Shemeji mzima lakini?
Brother yuko wapi!!
roho yako haifanani na sura yako hakyananiNdo naondoka nataka niwacheki the blues
Okay.Sijambo! Yupo ila kabanwa sana Leo.
Kila siku kuna mapyaNaipenda Tanzania yangu isiyoisha majanga
Roho yangu mbaya au nzuri?roho yako haifanani na sura yako hakyanani
ZimefikaOkay.
Naomba mfikishie salamu zangu.
Presidaa yuko busy anatumbua majipuKila siku kuna mapya