Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Uongo ndioKwani uongo?
Uongo ndioKwani uongo?
buy me thisMmekula humu?
Ni shiiiidaUjanja wa sungura akishindwa anasema sizitaki mbichi. Dadangu kasimamia kucha, jimena ni shida
Chezea jimena wewNi shiiiida
Unaniachaga mdomo wazi mdadabuy me this![]()
Mziki wa Jimena nauweza mimi tu hakuna mbadala.Muziki wa jimena atauweza?
Sasa umesamehe nini..Kukusamehe nimekusamehe ila hiyo haimaanishi kuwa urafiki unerudi
Mambo vipi mrembo.buy me this![]()
Kusamehe ni swala lingine, na kuwa marafiki au kuwa karibu ni swala linalojitegemea piaSasa umesamehe nini..
Dah sijala mrembo, afu njaa ndo vile imenishikaMmekula humu?
Hebu twende kaka akee mana tumbo lishaanza kudaiDada bado cjala nakungoja twende kule pa juzi
Ngoja Jambilo atume mahelabuy me this![]()
Jikoni nani yupo leo?Dah sijala mrembo, afu njaa ndo vile imenishika
Nakuja chap ndo natoka getini my dadaHebu twende kaka akee mana tumbo lishaanza kudai
Tutoke naye dada, huyu Amenn mpole sanaNgoja Jambilo atume mahela
Najua ananikubali sana tu.Jaribu bahati