Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Basi nakuomba tuwe karibu jimena.Kusamehe ni swala lingine, na kuwa marafiki au kuwa karibu ni swala linalojitegemea pia
Basi nakuomba tuwe karibu jimena.Kusamehe ni swala lingine, na kuwa marafiki au kuwa karibu ni swala linalojitegemea pia
Dah mwenye majiko kajirudisha uanafunzi eti kaenda kufanya shule!Jikoni nani yupo leo?
Eti ee... Basi mwambie ajiandaeTutoke naye dada, huyu Amenn mpole sana
Mwite sumbai asonge ugali we upike mbogaDah mwenye majiko kajirudisha uanafunzi eti kaenda kufanya shule!
Jaribu bahati potiDaa kuna watu wamezaliwa na bahati zoa...Deo katukanwa tu na mke wa waziri kapandishwa cheo, Je angepigwa kabisa kofi si angekuwa IGP kabisa? Mwenye nammba za mama Mahiga please aniunganishe naye anizabe kofi niwe hata mkuu wa Naibu Waziri!
mh jamaniUnaniachaga mdomo wazi mdada
Kwanini unaomba tuwe karibu?Basi nakuomba tuwe karibu jimena.
Pastor unaanza kunishtuaAaah bhana chukua hili![]()
Kwema za miaka?kwema humu
Shwari kabisaMrembo mambo?
Nataka anipige tafu kidogo, inaonekana umekuwa mgumu sana.Unaomba msaada gani?
Ulipotelea wapi jamani....Unaomba msaada gani?
Jambilo ulivyosema poti umenikumbusha mbali SanaJaribu bahati poti
Linamo ninakupenda sana...agape love..hii ni zawadi ndogo tu, ukiwa karibu nami utakula mema ya nchi...narudia agape love only/Pastor unaanza kunishtua
Khaaa safMambo vipi mrembo.
Labda aniombeeNataka anipige tafu kidogo, inaonekana umekuwa mgumu sana.