Asante ankali JJ kwa historia bora kabisaLeo katika historia
Haina la ziada
Niite Jimena Jimenes kwa udhamini mnono kabisa wa nane nane
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] karibuni mjipatie Chia seeds kwa utajiri wa afya zetu!
Usikose kujipatia Chia seeds zako sasa
Tantee shemelaPoye
FactCuzoo ndoa sio ya kuiga mpenzi sababu kiria kafanya vile na we hivyo pambana na hali yako tu utakayokutana nayo upande wako kiria ni mzima yule ndoa ya mwanzo haina hata miezi michache kaachika anamuacha kaka wa watu analialilia tu masikini kwa upendo alionao kwake ujue watu wanakosea kitu kimoja kabla hamjaoana ebu chunguzaneni kwanza mjuane mda flani mengine yafuatie kila mtu amjue mwenzie mapungufu yake
Cuzoo kwenye kupigwa hapo kila mtu ataongea lake ila mwanaume ni mwanaume tu na kupigwa hata kibao lazima ukionje
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Jana ni jumapili cuzoo honeymoon vipiiiii
Kumbe unujua wivu wake eeh?Hapana sijashangilia Baba D hatakubali tuje kwako
[emoji85] [emoji85][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Namjua vizuri sana babuKumbe unujua wivu wake eeh?
Sababu sio mfuasi wa Simba bali wa KilimoHata wewe mpenzi unapingana na ukweli[emoji23] [emoji23]
Ndo maana akitekwa najiendea zangu porini sipendagi kesi mie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Namjua vizuri sana babu
Duhnikikufumania nakukomesha yani nakupa mapigo ya vumbi la kongo. lazima utulizane nyumbani.. nakufululiza daily
Sawa boo lakini leo ni Simba daySababu sio mfuasi wa Simba bali wa Kilimo
Bora kwenye uchumba kwa sababu utakuwa umeshajuaKweli atii tatizo hawajuani kwa Muda mrefu wengine kwenye uchumba tu tushachezea vibao vya kutosha[emoji38] [emoji38]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Shemela kageukia upande wa pili cuzoo we busy na simu eenh [emoji134]
Ni mtazamo wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani umeona hii ndo adhabu.
Hebu cuzoo ukuje umsikilize huyu saint Ivuga
Hakika najua wewe si wa hiviNi mtazamo wake
Cc Nyagei[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakoroma kabisa ngoja ashtuke ghafla halaf aone upo jf unachat
Itakuwa hivyoAmezitamani pesa za mwenzake
Si hapo nyuma Mjukuu mweeWapi tena babu yangu[emoji15]
Kwahiyo babu baba d asipoonekana katekwa si ndio mana yakeNdo maana akitekwa najiendea zangu porini sipendagi kesi mie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Boo_BaeSi hapo nyuma Mjukuu mwee