Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Wanaanzaga hivyo hivyo badae kipindi cha pili katiba inabadilishwa
Wanaanzaga hivyo hivyo badae kipindi cha pili katiba inabadilishwa
Kila la kheri Uhuru kenyata na wakenya wote Mungu awaongoze muwe na uchaguzi ulio salama
Morning to you Madame SGood morning
Madame S
Poa nshakuitia shemela mvuruge sasa uoneKausha bro
Mzeewakungoa za asubuhiSwalama kabisaaaaa Rafiki kipenz
AmenSitakufa bali nitaishi, Nami nitayasimulia matendo ya Bwana
Bwana ameniadhibu sana lakini hakuniacha nife
Nifungulieni malango ya haki nitaingia na kumshkuru Bwana![]()
ZABURI 108:17-19
Muwe na asubuhi iliyo njema kwenu mbarikiwe sana![]()
Shemela wa mimi, uko poa lakiniNipo hapa shem jaman
Jambo jema sanaHajambo kabisa
Anajipanga panga hapa
Kuanza rasmi maisha ya double
Fungate limekwisha
Kasema yeye ndioAmetamka yeye
Msome tu shemelaNataka kumsoma mr x
Swalama kabisaaaaa mjukuu MkweNiajeee babu yake shunie mke wangu
nyie mtu na mkewe ni wachokozi huyo ndio mtoto wa binamu obe na mpendwa wake

Yetu macho tuWanaanzaga hivyo hivyo badae kipindi cha pili katiba inabadilishwa
Hujambo mjukuu wangu? Unajua Lee alipotekwa na mimi nikaamua niende porini ili asipate mashaka kwa sababu ana tabia ya kutoniamini japokuwa mimi babu Mkwe wake.Babu sijui kamteka nani jaman kawa adimu
Alianzisha uislam mwaka 640
Pia alikuwa mfanyabiashara mkubwa so kupitia biashara zake aliisambaza pia imani yake kwa kuwa alizitembelea nchi mbalimbali
Wote mpo sahihi kiimani msibishane ndio maana niliandikaUna uhakika?! Km hujui nyamaza tu
Rafiki kipenz wacha matusi banaUshindwee na ukazwee