Makapuku Forum

3/Abraham
Aliishi kati ya mwaka 1812C hadi 1537 BC
Achana na Abraham Lincoln hapa namzungumzia Abraham orijino
kuna tofauti kati ya Abraham na Ibrahim? Nafikiri ni sawa tu na Hasheem na Hashim au Hashimu
Abraham anajulikana zaidi kama Nabii Ibrahimu na Wakristo kwa Waislamu wanamfahamu
Anaaminika ndiye mtu wa kwanza wa Masharuki ya kati kuamini katika uwepo wa Mungu mmoja
Ameandikwa kwenye vitabu takribani 2,000,000

Anatafutwa zaidi ya X 10,000,000 kwa mwezi
.....
 
Mama yake alimmweka kwenye kikapu akiwa mchanga na kumficha katika kichaka ili asiuwawe kutokana na amri iliyotolewa kuwa watoto wote wachanga wauwawe
Lakini binti wa Farao aliekuwa akitoka kuoga mtoni alikiona kikapu na kuvutiwa nacho na kumkuta humo
Alimchukua na kumlea katika jumba la kifalme la Misri na alipendwa mno

Historia yake inavutia kwa kweli

Pamoja na kukulia katika jumba la kifalme lakini hakuwahi kujiona Mmisri bali Mwisraeli na pale alipoona ndugu zake wakiteseka ilimuuma sana
Na hiki ndio kisa kilichomfanya kukimbia Misri na kwenda nchi ya wamidian enzi za ujana wake
Kabla Mungu hajamtuma tena Misri kuwakomboa Waisraeli wenzake

Nina mengi sana juu yake
 
Yani huyu jamaa namkubali hadi basi!!
Ni moja kati ya watu ambao waliishi katika dunia kwa faida! Mafundisho yake ukiyafuata huwezi hata kuua nzi jinsi utakavyokuwa na upendo wa kweli!
 
2/Abu Al--Qasim Mu Ammad Ibn Abd Allah
Aliishi kati ya mwaka 570 hadi 673 na sijui kaburi lake mahali lilipo
Kwawasio waislamu Mtume Muhammad ndio mwanzilishi wa Uislamu ila kwa wenye dini yao wanaamini/wanasema hakuanzisha chochote ....mimi simo wanadai Uislamu ulikuwepo kabla yake
Sasa nafiki ushaelewa maana ya Allah Akbar
Ameabdikwa kwenye vitabu kibao idadi haijulikani

Anatafutwa kwa mwezi X 14,000,000 ila hata kapicha hakuna!!
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…