Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
huyu dada jamaan![]()
Ni demu mapepe![]()
Dwight Yoeke mpenda totoz alujipigia sana na kumpa mimba bahati mbaya akazaliwa mtoto asiyeona na hapo akaingia mitini kama digidigi
......
huyu dada jamaan![]()
Ni demu mapepe![]()
Dwight Yoeke mpenda totoz alujipigia sana na kumpa mimba bahati mbaya akazaliwa mtoto asiyeona na hapo akaingia mitini kama digidigi
......
Ungenipaa yotee? ?Ningekupa bana Baba D huko siwezi kukununia
Ahahhh nipo makini
Ni kweli nimekuwa mvivu na hiyo simu mpaka anipigie kelele ndio naiwashaAlisema halotel haipatikani
Inapendeza kama ugomv wa huku huuhamishii huko.. maana mrs wengine wananongwa, mlikosana kaul kidogo yeye anahamishia kwingine akijua kabisa usiku wa chukuchuku ni mrefu..Huko nisingemnunia
Uko poa?
Ningekupa Baba D nikununie mpaka huko ili upate sababu ya kwenda kutekwa ila tukimaliza mnuno unaendeleaUngenipaa yotee? ?
Ahahh mnunie huko akapewe na wengineInapendeza kama ugomv wa huku huuhamishii huko.. maana mrs wengine wananongwa, mlikosana kaul kidogo yeye anahamishia kwingine akijua kabisa usiku wa chukuchuku ni mrefu..![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo katika Historia
1983 - Robin Van Persie (RVP) anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Arsenal, Man Utd pia hucheza timu ya taifa ya Uholanzi.
Katika Ubora wake, alikuwa moto wa kuotea mbali kwenye swala zima la kufumania nyavu.
Duh.. umeamka na kifungh cha mathayo halaf church hujaenda aahh.. vibaya hvyo bibie..![]()
![]()
Nilivyokuwa naisoma ile mathayo nkajua wewe kanisan ndio ulikuwa wa kwanza kabsa, mshka funguo wa mlango alikukuta ww njee..![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app

Sio kupewa tu na kutekwa kabisa.. vibint vya siku hiz vinataka sifa kweli akijua km ni mr. Wake mtuu..Ahahh mnunie huko akapewe na wengine
Nashkuru kwa kuliona hilo makaveliSio kupewa tu na kutekwa kabisa.. vibint vya siku hiz vinataka sifa kweli akijua km ni mr. Wake mtuu..
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
Babu Wenger alichemsha kuwauzia Mashetani silaha![]()
Kuna asiyejua goli kali alilowapiga Hispania pale Brazil 2014?
Jamaa alijibebea Tuzo ya Puskas
.....
Ndo ivo ana nido za kunyonyeshea paka