Makapuku Forum

Makapuku Forum

Duh.. umeamka na kifungh cha mathayo halaf church hujaenda aahh.. vibaya hvyo bibie..[emoji3] [emoji3]

Nilivyokuwa naisoma ile mathayo nkajua wewe kanisan ndio ulikuwa wa kwanza kabsa, mshka funguo wa mlango alikukuta ww njee..[emoji12] [emoji12] [emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Leo katika Historia

1978 - Katie Price anazaliwa.
Ni mwigizaji na mwanamitindo toka nchini Uingereza.
54fd164ce2bb38a135aa0222349b0e21.jpg
d5e9602aa81beac866dbc73dbd9e1c6f.jpg
8be3c91ae0856be61b15bccfcb231c37.jpg
Ni demu mapepe
Dwight Yoeke mpenda totoz alujipigia sana na kumpa mimba bahati mbaya akazaliwa mtoto asiyeona na hapo akaingia mitini kama digidigi
......
 
Back
Top Bottom