Makapuku Forum



Hadi Mfalme sijui aliitwa Akihito akapooza....nyuklia hatari sana
.....
 
Hawa watoto waache tu, eti P anataka ipad, nikamwambia asiwe wa kwanza wala wa mwisho darasani, halafu anitajie majina ya wakuu wa mikoa, wa wilaya zote na majina ya mikoa yote nchini. Hili ni zoezi endelevu
Hapo sasa ndo faida ya kuzaa mapema kama sio bahati ni nn ...mm D bado mamake sijui alimzaa amepiga vitu vyake make nakumbuka siku ya uchungu nilikuta chupa kama za safari lager ...make akili zake huyu kama zinajichajiii....sasa ngoja awe wa kwanza kutoka mwisho
 
Ombeni nanyi mtapewa tafuteni nanyi mtaona bisheni nanyi mtafunguliwa

Kwa maana kila aombaye hupokea naye atafutaye huona naye abishaye atafunguliwa


MATHAYO:7:7-8

Kuna nguvu kwenye maombi usiache kuomba au kukata tamaa kwa nini Mungu hakujibu atakujibu tu anakusikia kwa kila kitu unachomwambia na usiache kumwambia Mungu asante kwa kila anachokutendea

Mbarikiwe sana muwe na asubuhi njema na jumapili njema
 
Asantee mama angu kipenziiii...
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…