shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ipi tenaaa... Mie ni kama wewe tuu... Ninayo kama ile yakoau dada ist yako ile
KabisaaNdio hapo sasa jamaan acheni niendelee kumjua lee wangu tu
Sipendi fujooWoyooooooooo
PoaNimekupata
HayaKucheka ni muhimu
Tungo TataIpi tenaaa... Mie ni kama wewe tuu... Ninayo kama ile yako
NshatumaWeka picha
Dharau bhanaaZereu ndio kitu gn mkuu?
Kivipi yaaaniTungo Tata
Kwa hiyo wote mna ist? AuKivipi yaaani
Ipi tenaaa... Mie ni kama wewe tuu... Ninayo kama ile yako



yangu nilishauza mda sana aisee nimebaki na leseni tu
Dada usinyonge ujueKo umeamua kuleta zereu
Tukirudi ataweka tu acha tukale nyama
Tungo tata ipiiii jaman shemelaTungo Tata
Akikujibu dada uniiteKivipi yaaani
Muulize ShunieKwa hiyo wote mna ist? Au
Hatuna chochote shemela mwendokasi ndio zetu usiogopeKwa hiyo wote mna ist? Au
Ahaaa,mbona mi sinaga hiyo mambo niko cool tuDharau bhanaa