Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kweli shemela umemaliza ujue nawaza tu apa hivi anajua ye anatawala milele au yaan kuna vitu vingi sana vinashangaza bora kura yangu nilimpigia mzee wa mabadiliko roho yangu ingeniuma sana
Waliompa kura wanajuta sana, ila sisi wa mabadiliko tuko poa kabisa
 
Hebu itume niione, maana mimi sijawahi post miguu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au ilikua akili ya chini shemela hapana aisee usijifanye umesahau au wine ilikuwa inafanya kazi
 
Back
Top Bottom