Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Mmhh umeanza kaka jamanLakini si shangai ni tabia za baadhi ya makabila maana mda mwingi wanasema bila kupima uzito wa neno na athari zake
Mmhh umeanza kaka jamanLakini si shangai ni tabia za baadhi ya makabila maana mda mwingi wanasema bila kupima uzito wa neno na athari zake
@Mondray tunataka umalize ya mwanzo ndio utuwekee hii ya baba mwaija sisi ndio wasomaji ujue
Hapo sawa mondray jamaan husna ukuje mondray anaweka hukuHee imekua kesi ngoja niwawekee
Sijaanza dada nisameheni kama nimekosea ila kuna vitu vinatia hasira mpaka tunakosea kusemaMmhh umeanza kaka jaman
Najua kaka angu vitu vinauzi sana yaan sana jamaan lakini hakuna namna ndio imeshakuwa ujue kaka tusiingize mambo ya ukabila tutawakwaza wengine kaka anguSijaanza dada nisameheni kama nimekosea ila kuna vitu vinatia hasira mpaka tunakosea kusema
Sawa nimekwelewaNajua kaka angu vitu vinauzi sana yaan sana jamaan lakini hakuna namna ndio imeshakuwa ujue kaka tusiingize mambo ya ukabila tutawakwaza wengine kaka angu
Mr xMpendwa vipiii jamaan mkewe nipo hapa kuna shida gani tena
NaisubiriiiHee imekua kesi ngoja niwawekee
Tunajiandaa kwenda nyama choma ataweka badae mpendwa wa binamuMr x
Niko hapaHapo sawa mondray jamaan husna ukuje mondray anaweka huku
Nashkuru kaka uwe na AmaniSawa nimekwelewa
Tuko pamojaNashkuru kaka uwe na Amani
Kuna kitu hakipo sawa, hapo kwa kabila hapana, ni nature ya binadamu tuLakini si shangai ni tabia za baadhi ya makabila maana mda mwingi wanasema bila kupima uzito wa neno na athari zake
Tofauti ipi sasa au mpaka nirushe pichaInafika, ila wewe na baiskeli ni vitu viwili tofauti
Hapooo SawaKama ruge vileee![]()
Sawa shemejiKuna kitu hakipo sawa, hapo kwa kabila hapana, ni nature ya binadamu tu
Ko umeamua kuleta zereu![]()
![]()
huyo huyooo
Weka pichaTofauti ipi sasa au mpaka nirushe picha
Zereu ndio kitu gn mkuu?Ko umeamua kuleta zereu