Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Boringo naipenda sana asante kwa mziki mzee wa saa mpya
yaani hiyo SAA mpaka Leo bado ni mpya tu!!!Boringo naipenda sana asante kwa mziki mzee wa saa mpya
yaani hiyo SAA mpaka Leo bado ni mpya tu!!!Za kwako hbHeshima Yenu wote makapuku wenzangu![]()
Morning shemAsante mpendwa but Juzi nilikuomba wimbo hukuniwekea ila aloomba anti wako ukauweka
So it means umenidharau ee...?? Saw a tu ngoja nikanywe supu nipunguze hasira kwanza
Naamini sikuliona chaguo lako, si unajua mimi kwako kipofu yaani wewe ndo unanishika mkono.Asante mpendwa but Juzi nilikuomba wimbo hukuniwekea ila aloomba anti wako ukauweka
So it means umenidharau ee...?? Saw a tu ngoja nikanywe supu nipunguze hasira kwanza
Na iwe kwako piaHeshima Yenu wote makapuku wenzangu![]()
Oyaa ile hadithi nimeishia ngapi vile?!Salama swtheart
Kwema engineer?
![]()
![]()
yaani hiyo SAA mpaka Leo bado ni mpya tu!!!
Shukree bi Husna!Hongera
OkNi 255
Episode 9Oyaa ile hadithi nimeishia ngapi vile?!
Jambo la kheri hiloAm fine, kumekucha
Madame S
Hii cuf nayo hii sio bure kuna kitu
Ukiniuliza nilianza kunywa lini cjui na toka hapo cjawai kukosa pombe nilipoiitaji then m chaga boy pata picha!Now nimeimarika kiuchumi,kimwili,kifikra...ni wokovu tu umechangia au na masuala ya kuchumi yamechukua nafasi zaidi?

