shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Naamini sikuliona chaguo lako, si unajua mimi kwako kipofu yaani wewe ndo unanishika mkono.
Uliomba wimbo gani kwani!? Nikumbushe nikailete bendi nzima.

Naamini sikuliona chaguo lako, si unajua mimi kwako kipofu yaani wewe ndo unanishika mkono.
Uliomba wimbo gani kwani!? Nikumbushe nikailete bendi nzima.

Kwema kabisa mkuuKwema engineer?
Wazima kabisa, wenzao jeSalama kabisa captain
Watoto hawajambo?
Ndio hivyoHii cuf nayo hii sio bure kuna kitu
Wanazipeleka wenyeweGwajima anatumbua sadaka huyuu
Masikini manji wee
Pamoja sana mpendwa wa ObeDa r.I.p bi harusi
Asante mkuu shululu
Kwema kabisa, za a,townJaman kwema hapa
Kwema mkuu habari ya mapambano na maishaJaman kwema hapa
A town bwana baridi tuKwema kabisa, za a,town
Poleni na hiyo baridiA town bwana baridi tu
Kwema mdadaaJaman kwema hapa
Morning hubbyMorning all kapuku
Mie sijambo, hahaha lo hata husahau, nikikumbuka majina yao nitasemaKwema mdadaa
Mambo za wewe.... Nakusubiria ujue, ile list
Kaka akeeeUmeamkaje shemeji
Umeamkaje dadakeeKaka akeee
Shemu waneKumbe hataki kuambiwa
Mpendwa wako unamuona lakini
Itaishaje upya akati makaratasi hajatoa![]()
![]()
yaani hiyo SAA mpaka Leo bado ni mpya tu!!!
