Tuna kazi kubwa sana, wenzetu wmebobea sana kwenye tafiti, lakini sua tu mtu anamaliza chuo hajui ubora wa udongo wa Tanga na iringa, ni masikitiko sanaAsante shemeji ila ndo watu tunategemea watuvushe vijana tufike hadi hatua ya kujiajiri kama watalamu nilio pata nafasi ya kutembelea mabanda yao nimesikitika maana Maelezo yao ni ngumu kutuvusha tunapo takiwa kufika
Nimefika hadi banda shirika moja la serikali wananipa majibu ya kukalili badala ya kunipa majibu ya swali walilo ulizwa
Itakuwa, na demi amemzuia kuwasiliana na mtu yoyote [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndo hajarudi mke mweee alisahau kama zamu ya mwenzie labda
Mpendwa wa Obe anaruka miondoko ya kiafrica
Unalala mkuu?Usiku mwema watu wema mliomo humu
Hongera bro kwa kutupia code ya TzHabari za asubuhi wa wadau
Niwatakie asubuhi njema na mwanzo mzuri wa week end
.......
Ni salama kabisa mkuuSawa mkuu habari ya siku nyingi lakini
Shemela huyoShem Lee kumekucha njoo tuletee mr X
Nakutakia Jmosi tulivuView attachment 557623Sina la ziada kutoka magazetini
Nawatakieni ijumaa njema
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Oooh maama.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Pamoja sana mdau
Ndio hiyo mdau fiction story za watunzi mahiri wa vitabu maranyingi hutumika kutengeneza filamu
Sio huku bongo movoe kila mtu anatunga !!
...
Na kwako piaUsiku mwema watu wema mliomo humu
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Naitwa Jimena Jimenes nawatakia weekend njema yenye furaha tele! Tukutane tena kesho katika meza hii ya magazeti
T G I F
Huyo ndiye NyerereNyerere ashtakiwavkea uchochezi
Huu ndo uchochezi wa Kambarage
Ukistaajabu ya Lissu utayaona ya Kambarage
.....
Ni 255Hongera kwa 225k
Umekumbuka nini?Happy born day to him...
Nimependa hilo pozi la mwisho....