Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Ewaaa...Umepatia... kumbe nilichokufundisha ulikishika sawia...
Nasubiria ntakapokupa funzo la kupika mtori...
Nasubiria hilo darasaa
Ewaaa...Umepatia... kumbe nilichokufundisha ulikishika sawia...
Nasubiria ntakapokupa funzo la kupika mtori...
Umechemka..[emoji3][emoji3]Sawa babu akee.... Ngikukundi.... Sijui nimepatia
Hivyo eeehh... Nilitakiwa kusemaje sasaaa.....Umechemka..[emoji3][emoji3]
Definetily kwa sababu halitoki moyoni
Mdogo wako yuko ushawasiliana naee?Shem akee
Nimewamisi wooote but esspicially mpendwa/mpenzi wangu na madengeee
Niko kwenye viporo waheshimiwa
Mbona moyo wangu unao jamaniiHapana...
Niletee moyo wako tuu
Abee