Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Nmesahau shemelaMama jj nini tena?
Nmesahau shemelaMama jj nini tena?
Duh aiseeDOD YOU KNOW ?![]()
Hahaaa...sawa bhanaNmesahau shemela
Thanks bitoz![]()
End
......
Makongo juu hiyo
Shwariii mzima weye?Niaje linamo
AsanteTOP TEN
Wakati bwana yule akiwa na mgogoro na Wazungu kuhusu madini wakishindwa kupatana wataingia vitani kwa kupigana mabomu au vita ya uchumi ya kimyakimya
Sitaki kujifanya na kiherehere kuhusu suala hilo maana sio nia yangu
Vitaisikievkwacjirani tu ni mbaya husababisha vilema na mauti ...kilichotokea Rwanda wakati wa mauaji ya Kimbari kila mtu anajua
Sasa leo tuangalie vita kumi za kibabe zilizosababisha vifo vingi duniani
Hakuna cha Vita ya Majimaji wala Vita ya Kagera
Karibuni
............
Niaje lakini, Rukwa wazima hukoComrade..!
Tipo TipoTOP TEN
Wakati bwana yule akiwa na mgogoro na Wazungu kuhusu madini wakishindwa kupatana wataingia vitani kwa kupigana mabomu au vita ya uchumi ya kimyakimya
Sitaki kujifanya na kiherehere kuhusu suala hilo maana sio nia yangu
Vitaisikievkwacjirani tu ni mbaya husababisha vilema na mauti ...kilichotokea Rwanda wakati wa mauaji ya Kimbari kila mtu anajua
Sasa leo tuangalie vita kumi za kibabe zilizosababisha vifo vingi duniani
Hakuna cha Vita ya Majimaji wala Vita ya Kagera
Karibuni
............
6/Qing Dynasty Conquest of Ming Dynasty
![]()
![]()
![]()
Vita hii ya kibabe ilipigwa kuanzia mwaka 1616 hadi 1662 yaani takribani miaka 50 wanakung'utana tu
Ilipigwa huko China kwa akina macho madogo
Qing Dynasty ilifahamika pia kama Manchu Dynasty...ndio utawala wa MW sho wa kifalme huko China ambao ulidumu kuanzia mwaka 1644 hadi mwaka 1912
Baada ya kuanguka kwake ikazaliwa Jamhuri ya China
Manchu dynasty ilianzishwa na Aisin Gioro sasa wakati himaya hiyo ikijitanua tanua ndo vita vikaanza
Mnavyoona ukubwa wa China kieneo mjue kuna njemba iliipigania
Vita hii ilisababisha umwagaji damu ya watu 25,000,00
........................
Zitaendelea baadaye

Za jioni my swiYes my darling![]()
![]()
hii hatariDOD YOU KNOW ?![]()
Mzima kabisa,naona mpo kisiwani beach moja matata sana, hongereni sanaShwariii mzima weye?
Yani wacha tuliwazane maana hakuna namnaMzima kabisa,naona mpo kisiwani beach moja matata sana, hongereni sana

Mmenimithi eeeNa kupitia viporo vya nyuma
Sijambo babu sijui weweMarhabaaa mjukuu wangu mpendwa.... Hujambo wewe?
Mkuu...Niaje lakini, Rukwa wazima huko