Makapuku Forum

1/Tokyo Skytree
Unapatikana huko kwa akina Takuma Asano,Shinji Kaawa,Junichi Inamoto na Hidetoshi Nakata au ukipenda tu waite wazee wa Toyota

Ndio mnara mrefu zaidi duniani ,umejengwa jijini Tokyo nchini Japan
Kuufananisha mnara huu na ule wa Paris ni kama kumsimamisha kistuli na Hasheem Thabeet tu
Ulianza kujengwa mwaka 2008 na kukamilika mnamo mwak 2012
Unatumika kurushia matangazo,utalii na biashara kwahiyo kama unataka kuuona mnara mrefu zaidi duniani kwa macho yako nenda huko acha na ule wa Paris

Una urefu wa futi 2,080
.
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku Mwema
Tukutabe kesho
Mwisho
...............
 
Aisee mrefu....
ila mzuri pia
 
Asante bitoz kwa kumi kubwa
 
Habari njema
Ila mbaya kwa mkubwa Fella
Sijui watapangwaje wote yaani Matic,Carrick,Pogba,Fella & Herrera
Naona maumivu kwa Fella zen Mata halafiu Lingard
Ila Fella ataumia zaidi
Ila ni jambo jema kuwa ns kokosi kikubwa
.......
Kikubwa nachokiona ni kumruhusu pogba awe huru make fella alikuwa anampa kazi ngumu Pogba ...uzuri wa Matic ni uwezo wake wa kushuka nyuma ya mstari na kuzuia mbele ya mstari ....mechi ngumu usishangae mzee anaua 8 na kuwaanzisha wote alafu Pogba anafanya anachotaka uku ikiwa ni advantage kwa lukaku. ...

Kuwa na Matic kikosini ata kama bench una uhakika wa kuambulia chochote ...

Mata anaweza kutengeneza formation nzuri ila atasugua sana ...

Ukweliii.....Wangelimsainii sanchez wa Munich akakutana na fella Pogba angelinoga zaidi uku lukaku akiwa na kazi moja ya kutupiaaa ....

......Ila ni usajili boraa


Ila Matic na Herrera wanakwenda Msimu ujao kuwa destroyer wa mipango ya timu pinzani lakini pia wanakwenda kuwa bodyguard kwa Paul Pogba na sijui Chelsea wamewaza nini kabla Manchester United hawajafikiria hivyo.
 
Asantee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…