Thanks rafiki be blessed too acha nilale good nightNakupenda sana , umenigusa sana , sijui we ni mwanamke wa aina gani, i can make imaginations, ur such very smart & God mfearing woman. Thanks for script, be blessed, ur real friend
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante babuNa wewe pia Mjukuu wangu mpendwa
Shemela za jioniBaba D acha kunisingizia me ninavyompenda binamu
Mambo ya shemela shululu hayo
Shemela za jioni ni poa unaingia tunatoka pole kwa kubanwa usiku mwemaShemela za jioni
Safi za kwako
Shemela naona Nyagei kazama kabisa kwa cuzoo wakoDaah we na mpendwa wa binamu hamna tofauti kwa kupenda viporo
Ha ha ha ha ha ha ha ha.... Hapa kwetu kuna jamaa aliandika gari yake 'babu kessy' na akawa kweli anaitwa babu kessy lakini umri wake ulikuwa haufiki miaka arobaini.... Sasa mimi nimefika na kupita si ni kibabu tu mimi Shunie.?Kwani huo ubabu unaousema kumbe ni uongo aisee usiku mwema babu
My love za jioniZnantosha babu
Leo nilibanwa na pilikapilika hadi ikawa soo
Ila ngoja niwatupie Vimbwanga vya Chaplin
Zen
Niwatakie Usiku Mwema
.....

Umeuliza kwa niaba ya KF woteNingekuwa najua wala nisingeuliza
AiseeNdio yupi hapo kwa avatar mke mwee![]()
Lala unono mjukuu wangu... Ubarikiwe ulindwe uongozwe na muumba wa mbingu na ardhi.Thanks rafiki be blessed too acha nilale good night